yeriko nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula amjibu Yericko Nyerere

    ASKOFU HAKATISHWI TAMAA KWA UWONGO! Wiki chache zilizopita, aliyekuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya CHAUMMA...
  2. K

    Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  3. C

    Kupatikana kwa Jasusi Yeriko Nyerere.

    Na ule mwanya wake basi sisi hoi. Tukutane 9/12/2025 tutamsalimia huyu na Mwijaku pale Kigamboni sisi wakazi wa Kigamboni.
  4. kagoshima

    Hivi Yeriko Nyerere anatutaka nini watanzania?

    Huyu jamaa yawezekana ni mental case. Kwenye msiba watu hulia wote yeye yuko bize na spinning na kejeli. Namshauri aache mara moja kwa usalama wake. Usicheze na umma uloumizwa
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI

    Anandika kada wa CHAUMMA yericko nyerere....................... Kwa maoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimanti na kivitendo...
  6. Dalton elijah

    Yeriko Nyerere, Peter Madeleka, Salim Mwalimu Na James Mbowe, Je Uchaguzi umeisha?

    Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
  7. tonicimmobility

    GE2025 Aliyoyaahidi Yeriko Nyerere kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa kusaka kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere, amefanya kampeni za aina ya kipekee alizozitaja kuwa “Mobile Campaign”, akiwafuata wananchi walipo na kuhutubia mikutano ya hadhara akiwa njiani bila kutumia jukwaa rasmi, huku akipata...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Yericko Nyerere na wenzake waende Stand Up Comedy; kama walimshindwa Lissu CHADEMA wataiweza CCM yenye Dola?

    Hamjambo! Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi. Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu...
  10. J

    Yeriko Nyerere nadi sera za CHAUMMA achana CHADEMA

    Yeriko Nyerere mwanachama wa zamani wa CHADEMA aliyejiunga CHAUMMA hivi karibuni, amepewa kazi maalum. Kazi hiyo maalum ni kuhakikisha anawadhoofisha kimkakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA na Chama chao kwa ujumla. Katika kazi yake hiyo mpya ndani ya CHAUMMA, Yeriko ameelekeza Moja kwa moja...
  11. R

    GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

    Wakuu, Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
  12. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  13. J

    Yeriko Nyerere: CIA waliamini Mtu aliyepaswa kukabidhiwa Nchi ya Tanganyika baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka ni Mangi Thomas Mariale!

    Taarifa za siri za CIA za miaka ya 1953 zinaonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa Wachaga Thomas Mariale. (Soma kielelezo cha nyaraka hiyo chini ya CIA)Lakini katika nyaraka za...
  14. ChoiceVariable

    PreGE2025 Yericko Nyerere: Wajumbe tutakomesha Matusi ya Lissu aliyotutukana kwa kumchagua Mbowe kwa 90%

    Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%. Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana...
  15. J

    Mbowe alimuandaa Halima Mdee kuwa Mwenyekiti wa Chadema ndio sababu Sasa anasapotiwa na Watu Wadogo kabisa akina Ntobi na Yeriko!

    Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025 Mzee Mziray mkongwe wa Chadema anasema ndio sababu Mbowe alimshawishi Sana Halima Mdee aachie Ubunge wa shujaa Magufuli Ili aje...
  16. J

    Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
  17. Mindyou

    Yericko Nyerere: Siku Mbowe akiwa kwenye machela hawezi kutembea, ndio tutamuweka benchi

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti. “Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba...
Back
Top Bottom