yas

"The Duck Yas-Yas-Yas" or "The Duck's Yas Yas Yas" is a hokum jazz-blues song, originally recorded by James "Stump" Johnson, but the most well known version was recorded by Oliver Cobb and his Rhythm Kings. The song is perhaps best known for the lyrics:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TiGO, sasa yas by mix ina huduma mbovu za kifedha!

    Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Strategic Execution Business Partner at Yas Tanzania June 2025

    Strategic execution business partner – New vacancy (apply by June 13, 2025) Let’s grow together—become our Strategic Execution Business Partner. About the role: We are seeking a Strategic Execution Business Partner with a master’s degree in business, finance, strategy, or a related field, and...
  5. D

    JamiiForums Tanzania YAS Postpaid bundle

    Naunganisha YAS POSTPAID BUNDLE kwa uharaka sana Hakuna gharama za ziada ili upate huduma Kigezo kikubwa ni Pesa ya kifurushi chako. UNLIMITED YA 100,000 hii tunakuunga hata kwenye simu yako ya mkononi Wasiliana nami whatssap +255 765 991551
  6. N

    JamiiForums Tanzania MIXX BY YAS, DSE waja na mini app ya hisa kiganjani

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani' inayopatikana kwenye super App ya Mixx by Yas. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Peter...
  7. M

    JamiiForums Tanzania YAS RUSHA:VIJANA KWA AJILI YA KUUNGANISHA MADUKA NA HUDUMA YA YASRUSHA

    Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA Malipo ni kwa Kamisheni Location ni Dar es Salaaam Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo zaidi #mixxbyyass
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yas yazindua mnara wa mawasiliano wa 5g Kinyerezi

    Kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wa teknolojia ya 5G katika eneo la Kinyerezi – Zimbili, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyofanyika tarehe 28 Aprili 2025 na kuhudhuriwa na viongozi wa Serikali na wakazi wa maeneo ya jirani. Akizungumza...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hawa Mix by Yas wajitathimini wanakwama sana

    Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana . Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao . Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS...
  10. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 5 naweza fungua biashara ya miamala na wakala bank

    Wakuu nina milioni 5 hapa kama mtaji mbali na pesa ya kulipa kodi ya frem na tozo nyingine. Kodi ya fremu nategemea kuanza na shilingi laki 2 mpaka 250k Location popote penye wingi wa watu. Tupeane ABCD Kwa wajuzi na walio fanikiwa kwenye hii biashara. Pia vipi mwelekeo wa hii biashara ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  12. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Yas wapunguze Promotion Texts

    Naelewa kuwa kampuni ikipitia new Board inakuwa na mabadiliko ila hili swala la kupush notification hizo za "Ongea Zaidi" "Data Zaidi" kila siku message za "Nunua kifurushi cha INTANETI cha Tsh 500 au zaidi mara 3 kwa wiki hii upate OFA ya GB1 kwa Saa24. Piga *147*00# kununua vifurushi vya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Performance Management Analyst at Yas April 2025

    Performance Management Analyst Vacancy – Mixx – April 2025 Job Description Position Title: Performance Management Analyst Organization: Mixx Job Location: [Location] Posted by: Yas Introduction Mixx is looking for a highly motivated and results-driven individual to join our team as a...
  16. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa YAS naomba msaada

    Kila nikibakiwa na mb 30-40 naambiwa nimemaliza kifurushi sijui tatizo nin?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba tigo A. K. A Yas wanakunywa MB'S?

    Na imani mnaendelea poa. Jana nilikuwa kijijini ndani ndani na kwa bahati mbaya katika hicho Kijiji mtandao wa HALOTEL, VODACOM kasi ya internet ipo chini sana. Sasa nikapata ushauri kwa Wadau kwamba mtandao wa Yas upo vizuri hapo kijijini niujaribu, Okay nikafanya nilivyoshauriwa na...
  18. Intricate

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki

    Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hali mtandao kuwa mbovu wiki hii kuna nini?

    Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya. Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu! Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas Kuna nini kinachoendelea? Maana shida ya mtandao imekuwa kero kila siku. Tumechoka sasa !
  20. N

    JamiiForums Tanzania Apps and Girls na Yas Tanzania Waadhimisha Mahafali ya Wahitimu wa Jovia 2025

    Meneja Mahusiano ya Nje wa Yas, Bi. Rukia Mtingwa (wa tatu kushoto), akikabidhi cheti cha kuhitimu programu ya Jovia kwa Bi. Martha Chomola. Programu hiyo inayoratibiwa na Taasisi ya Apps and Girls kwa udhamini wa Yas, inatoa mafunzo kwa mabinti katika nyanja ya teknolojia. Hafla hiyo imefanyika...
Back
Top Bottom