yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kama Yanga asiposhinda kwa Madiba mods nawaruhusu munipige ban ya wiki

    Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu. YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo! Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana, Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

    Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti. Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute...
  5. JamiiForums Tanzania Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  6. JamiiForums Tanzania Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

    Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo. Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo. Mpira ni mchezo wa kugombania...
  7. JamiiForums Tanzania CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ndivo Yanga sc atakavyomuua Mamelod leo

    Wakati mashabiki wengi wa mwakarobo efusii au ukitaka waite mbumbumbu, wakisubiri kwa hamu mchezo wa Leo baina ya vidume Yanga afrika dhidi ya matapeli toka south Africa, kwa minajili ya kutafuta faraja baada ya wao kupakwa futa la nazi, na kisha kuliwa kiboga hapo jana. Mimi na timu Yangu ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba wameumia, lakini wataumia sana Yanga ikishinda leo

    Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa. Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo. Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe. Vinginevyo mtakuwa na yale macho ya kichawi yaani huwezi kumuangalia mtu machoni...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

    Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
  13. JamiiForums Tanzania Proved: Yanga atacheza finally na Al Ahy ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima

    Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi. Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima. Young African will beat AL Alhly hii ni baada ya ushindi wa gori tatu kesho.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba sc leo, Ninaimani zaidi na Yanga kesho inshaallah!

    Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo fainali mzunguko wa kwanza. Wanaume hao wanatoana jasho leo ktk dimba la Mkapa lililopo Temeke Dar...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Mechi ya Yanga sc vs Mamelod iahirishwe

    Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel Gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo masandawana. Kocha anatoa sababu ambazo hazina mashiko, mara alikosa muda wa kuandaa timu, mara Aziz ki na...
  16. JamiiForums Tanzania Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
  17. JamiiForums Tanzania Shabiki Wa Simba Kuishabikia Yanga, Wa Yanga Kuishabikia Simba ni Uzalendo Wa Kipuuzi

    Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hii mechi ya Yanga inaitaji pombe kidogo

    Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you move. tupige bia,🍻🍻. it's a failed country any way.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha solidarity kwenye masuala ya Simba na Yanga

    Leo sisalimii mtu. Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity. Sisi Yanga hatuwaombei mema Simba na hao simba hawatuombei mema Yanga. HAKUNA CHA SOLIDARITY, DUA ZETU ZOTE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…