yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Endapo yanga wakikata rufaa naikagundulika ni goli, betpawa wanilipe pesa yangu nilibetia yanga ashinde

    Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  4. sinaham

    JamiiForums Tanzania Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi https://www.jamiiforums.com/threads/wachezaji-12-wageni-kwenye-timu-ni-sumu-kwa-taifa-stars.2179131/
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Kocha Mokwena: Yanga walinizidi kila kitu

    “Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti” Coach Rulani Mokwena kwenye...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal" Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  8. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Wasemavyo wadau na club nyingine Afrika na kile Kinachoendelea katika Page ya CAF baada ya Goli la Yanga kukataliwa

    Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao. Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema...
  9. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Yanga wametoka kihalali kabisa

    Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe) Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli. Nakuichafua CAF.
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

    Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini. Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Yanga waianza safari ya Mwakarobo waliyokuwa wanaibeza

    Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto. Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
  13. baba aura

    JamiiForums Tanzania CAF quater final; simba vs al ahly &mamelody sundown vs yanga

    Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na hongera kwa atakaye fuzu
  14. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Faida za Yanga na Simba kuingia nusu fainali

    Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54 Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
  15. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  16. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

    1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema. 2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO. 3.Huyu Kibu karogwa siyo bure. 4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka lini? Ongeza yako....
  17. D

    JamiiForums Tanzania Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

    kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months . weka nyumba 1 upate nyumba 9. Acheni siasa za mpira, walk the talk.
  18. Movic Evara

    JamiiForums Tanzania Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Replacement hii haizungumzwi sana pale Yanga

    Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic...
  20. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na...
Back
Top Bottom