yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitumie tena uwanja wa Mkapa. Wanatuhujumu

    Tuwe tunahama viwanja hadi tutakapopata kinachotupa ushindi au sare. Nashauri tuhamie hata Iringa Mjini
  3. JamiiForums Tanzania Madalali waiponza yanga

    Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa viwango vya baba levo Nashauri aliyewapa Yanga wazo la kumtimua Gamondi na kumleta huyu kanjanja akamatwe...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga kadaini fedha zenu kwa Mganga aliyewaaminisha Dube atafunga game ya jana

    Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

    Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi? Wachezaji hawana teamwork? Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani? Wachezaji wamelewa sifa? Physicality ya wachezaji ni hafifu? Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni? Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao. Pang Fung Mi
  6. JamiiForums Tanzania Yanga isipokuwa seriouz shughuli yaweza kuishia hapahapa kwenye makundi

    Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu. Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yetu ifanye hivi ili iwe bora

    Pole kwa maumvi wanayanga wenzangu mimi nachona tumfuke Ally Kamwe, Manara arudi kundini afu Eng.Haris abadilishiwe majukum arudi akasimamie makampuni ya GSM hapa tutakua tumeula Nb: Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua...
  8. JamiiForums Tanzania Naked truth!: Uongozi wetu Yanga ujitafakari sana na wachezaji wetu

    I salute you kinsmen. Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale . Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili. Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  11. JamiiForums Tanzania Yanga tutarudi imara zaidi

    Mchezo ulikuwa mzuri Mchezo umetuachia somo Huko mbele tunapoenda tucheze vipi Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi Tushikamane wananchi Tutashinda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

    Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
  13. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga mpeni Mzee Magoma timu yake mambo yaende sawa

    Wakuu kurujuni imeanza kazi, Kuna wahuni wamejimilikisha timu ilihali wamekuja mjini juzi. Mzee Magoma hayupo peke yake rudisheni timu kwa wenyewe mambo yakae sawa. PIA SOMA - Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?
  15. JamiiForums Tanzania Manara acha kuhujumu club ya yanga

    Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans Hii timu Ina historia kubwa katika mpira Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo Nasema...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani...
  17. JamiiForums Tanzania Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  18. JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  19. JamiiForums Tanzania Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Kama nilivyoandika hapo. Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…