yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

    Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga mnalakujifunza toka kwa waarabu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Timu ya soka ya Yanga mnabidi kujifunza toka kwa waarabu, mmezidi kua wanyonge Sana, katika soka la Africa fitina za nje ya uwanja ni kubwa mno. Waamuzi wananunuliwa na uwanjani wanakua washajua timu gani ishinde, msimu uliopita kama sio kua...
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

    Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
  6. JamiiForums Tanzania Ajabu sana klabu yanga wanapotaka vitendo vya kihuni visitangazwe na kukemewa kwa kigezo cha uzalendo!

    Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

    Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona. Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
  8. JamiiForums Tanzania Dirisha dogo la usajili lipo wazi, Yanga fanyia kazi maeneo haya

    Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo 1. Kiungo mkabaji Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

    Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
  10. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Tp Mazembe vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri Nampongeza coach Saed Ramovic Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho, Mudathir na Nzengeli Kipa Diara amecheza vizuri mno alichezesha timu vyema, Majeraha aliyoyapata mapema...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mlisema mnataka kucheza na shetani vipi ndugu zetu wa Yanga hali ikoje

    Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wameanza kuonyesha matumaini

    Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine. Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji Yanga wanadai malimbikizo ya posho

    Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho. Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai. Kuna bonus za last season wachezaji wanadai Kuna wachezaji Kama Azzi K hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!! GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka...
  14. JamiiForums Tanzania YANGA BADO VIWANGO VIKO CHINI

    Wakishinda ni bahati nasibu 😂
  15. JamiiForums Tanzania YANGA AKISHINDA LEO NIITWE AISHA MIUNO

    Natanguliza shukrani yanga ikibahatika kushinda mniite Hilo jina Note: Mimi ni mwanaume
  16. JamiiForums Tanzania TP Majamaa Mazembe leo wakijitahidi sana ni draw. Yanga imeshaiva inamchapa Mazembe

    Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu. TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni majamaa mazembe. Tipwa Tipwa Mazembe. TP Mazembe. Wachezaje sasa wamemwelewa coach wa kijerumani. Soka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

    Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
  19. JamiiForums Tanzania Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

    Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa. Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂 Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga imetangaza kuachana na kocha wake Saed na kocha wa viungo Mustafa

    Kimeumana jangwani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…