Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Ni demokrasia kweli kwenye michezo, lakini timu inayoshinda kocha haipangui bila sababu za msingi.
Naogopa kuibadilisha safu ya uongozi wa Yanga uliotutelea makombe kwa miaka 5 mfululizo, maana present is known and secure.
Tusije tungaingiza migogoro ndani kwa mikono yetu wenyewe.
I salute you kinsmen
Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana
Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu.
Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa.
Walioingia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam.
Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani!
Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini?
Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba 233 wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Adhabu hiyo...
Aliyekuwa mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Prince Dube amejiunga na klabu ya Hardrock FC ya nchini kwao Zimbabwe.
Baada ya kuondoka kwa Dube sasa Yanga watalazimika Kuingia Sokoni kutafuta mbadala wake kuelekea msimu mpya 2026/27.
Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo
Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena
#####
Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa...
Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao
MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨
"Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa magumu haya. Kuna timu kama zingekuwa zinafanyiwa hivi, sasa zingekuwa daraja la pili huko...
Yanga Bingwa. Tena na Tena. Leo tunawachapa hawa mashupaa... Maana si mashujaa...
Tunazidi kukaa kileleni. Tunaamua wenyewe tuwachape baos ngapi. Mbwa hawa.
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
Itakuwa aibu kubwa kwa Simba kuendelea kushuhudia Yanga wakibeba kombe mara ya tano mfululizo. Simba wanapaswa kufanya kila linalowezekana nje ya uwanja kulinda heshima yao.
Kama ni kuwavuruga Yanga kisaikolojia, kuongeza motisha kwa timu zinazocheza nao, kununua marefa, kuwashawishi baadhi ya...
Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana.
Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida ikawa goal keeper alijisahau akaharibu move. Kwa kweli Chama amekuwa akitunyima raha toka siku ile...
Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Wakati Simba itaanza na Dodoma Jiji (24/05/2026) Yanga wao siku inayofuata itakutana na Namungo. Mechi ngumu kwa Simba, Yanga mechi...
Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama
Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia
Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo.
Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa...
Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...