yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

    Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wamemaliza kazi saa 4 ya leo. Yanga tusipopata 3 points kwa Azam nipigwe ban. Sioni Azam wakibana hii game

    Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha. Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua. Wazee wanasema Azam akibana sana bao 2 ndo za chini kabisa. Yanga ikipoteza points nipigwe ban. Sioni...
  3. JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  5. JamiiForums Tanzania 5imba yaacha ubahili yawaiga Yanga kutoa misaada kwa wahitaji kuelekea mechi muhimu

    Sio jambo baya, Ila mmechelewa sana.
  6. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu shabiki wa Esperance aliyeokolewa na shabiki wa Mamelod ingekuwa taifa Yanga walivyo na roho mbaya angekufa

    Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika mashabiki wenye roho mbaya wa kitanzania hususani wa yanga wasivyo na utu wanakuacha au wanakusukumiza...
  8. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha Emmanuel Mbele kumpiga mwamuzi mpaka kutungiwa wimbo

    Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s. Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu...
  10. JamiiForums Tanzania 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC Tabora amethibitisha “Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yapewa siku 10 kuwasilisha rufaa yao CAS, wasipofanya hivyo wanakuwa wameondoa Kesi yao

    Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai. Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kukamatwa kwa Ali Kamwe badala ya kijana Godi Yanga!

    Nimeshangazwa sana kukamatwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi kwa Ali kamwe kwa kile kinachodaiwa kutoa kauli za kudhalilisha viongozi. Nimesikiliza hizo kauli za Ali Kamwe sijaona kauli yoyote ya kufanya akamatwe na polisi, wakati namsikiliza Ali Kamwe nimeweza kukutana na video nyingine...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  14. JamiiForums Tanzania Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

    Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants Marumo gallants 1 - 2 Young africans Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika. Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
  15. JamiiForums Tanzania Hii Sauti inayosambaa Mitandaoni ya Kiongozi wa Yanga SC kumwambia Kipa wa Tabora United aachie Leo TAKUKURU hawajaisikia au nao wameshanunuliwa?

    Ni Aibu kubwa mno na ni Kashfa pia katika Soka la Tanzania. TAKUKURU (PCCB) mmenunuliwa nao au nanyi mnaaogopa?
  16. JamiiForums Tanzania Imebumbuluka: Anayeshawishiwa na watu wa Yanga ni kipa wa Tabora Utd Jean Noel

    Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora. Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa klabu ya yanga anatakiwa kuwa muungwana

    Msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa maneno mengine Mkuu wa Mkoa ndiye Mwakilishi wa Rais katika Mkoa ule ni kama maneno hayo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Tabora Utd vs Yanga: Mdau wa Tabora Utd atishiwa na mtu asiyejulikana kuhusu kuihujumu Yanga

    Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini. Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga kupewa adhabu ya kucheza mechi 3 bila ya mashabiki

    Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki. Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…