yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na TAKUKURU imulikeni NBC Premier League, Pesa za GSM kwa Marefa ili Kuibeba Yanga SC zinaharibu Soka letu

    Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

    Wizara ya habari utamaduni vijana Sanaa na michezo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema katika kusheherekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt HUSSEIN ALLI MWINYI walikuwa na mapendekezo ya timu Tatu katika kufanikisha sherehe hizo...
  3. JamiiForums Tanzania Tutahesabu wachezaji wa NBC premier league watakaoitwa timu za taifa Play off 3rd round WC Qatar 2022

    Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021 mechi zitaanza march 2022 Kutoka ligi yaNBC watawakilishwa na 1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Wahamasisha Wazanzibari 'Watembelee' Zanzibari

    Bila Kujari Matokeo...! Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...! Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi Ya Kuwa Uzi wenye Mkataba Mfupi sana Kuwahi kutokea Duniani. Mkataba ulidumu Kwa muda Wa Siku 7 tu...
  5. JamiiForums Tanzania Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda awaita wana Yanga Mazuzu

    Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga. Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?! Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

    Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  10. JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa hasara kuliko Utopolo

    Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba! Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini yanga wanaumia sana simba isipocheza vizuri!?

    Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...
  12. JamiiForums Tanzania YANGA: Wakulahumiwa ni Rivers United

    Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi nyingine hata huko ulaya. Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio Aucho tungewambia mapema...
  13. JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

    Katoa red cad kimakosa halafu pia katoa penalty kimakosa. Wataalamu wa soka karibuni kwa maoni yenu, ushabiki tuuweke pembeni
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

    Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa timu za Ligi Kuu isipokuwa Yanga na Simba

    Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo. Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na...
  17. JamiiForums Tanzania Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji. Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO. Hii hapa ni takwimu za list season...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

    Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu. Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Game ya Simba na yanga iliyopangwa 11 December kusogezwa mbele?

    Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ? Nani anasogezewa mbele kipigo?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…