yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kutopokelewa ASEC Mimosa, Yanga wamestaarabika kidogo?

    Kwa ufupi sana Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc. Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  3. JamiiForums Tanzania Nimeamini yanga wanakomolewa kimakusudi ili wasibebe ubingwa

    Hivi Dickson Job alifanya kosa gani kubwa mpaka afungiwe mechi 3 na faini juu?
  4. JamiiForums Tanzania Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  5. JamiiForums Tanzania Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimsikiliza Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi, ila nikiwasikiliza Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikisikiliza Interviews za Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi ila nikisikiliza za akina Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji ( Mzungumzaji ) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya, kigogo wa Serikalini anayeikandamiza Yanga ikose ubingwa ni nani?

    Mtangazaji wa Wasafi FM, Ricardo Momo amenukuliwa katika session yake redio akidai kuwa wale wazee wa klabu waliozungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watashitaki kwa Rais Samia Suluhu kuhusu klabu yao kuonewa, wamefanya hivyo kwa kuwa kuna kiongozi wa Serikali ambaye yuko nyuma ya...
  10. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

    Julai 17, 2021 Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe alithibitisha kuwa mipango ya kuanzishwa kwa African Super League ipo kwenye hatua nzuri, japo hadi sasa haijawekwa wazi lini hasa michuano hiyo maalum itaanza. Tetesi ni kuwa huu ndiyo mpunga ambao unatarajiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wadhamini wote wa mpira nchini wanazilenga Simba na Yanga, TFF lifahamu hilo

    Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa timu ndogo kama Geita Gold lengo lake ni simba na yanga wamtangaze siku kitimu hicho kitakapocheza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Hata Yanga waliwahi kugomea mkataba wa AZAM tv na TPL board mwaka 2013

    Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya Simba kugomea nembo ya kampunil iyo. Naomba niwakumbushe ya kuwa Ata Yanga mwaka 2013 chini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  15. JamiiForums Tanzania Yanga walalamika Simba kuongezewa dakika nyingi katika mechi

    Kupitia Mkutano na waandishi leo Februari 8, 2022, Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amezitaja takwimu ambazo zinaonesha kuwa na utata katika kuweka usawa kwenye timu ya Yanga dhidi ya wapinzani wao, Simba. Moja ya Takwimu ambayo ameitaja ya kwanza ni Dakika za Nyongeza ambazo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga ikae mguu sawa, GSM kujitoa Yanga

    Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije. Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa, kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida kubwa kwa Yanga kutoka sare na Mbeya City

    Hii ni kwasababu: Mbeya City ni moja ya timu inayotoa upinzani, hivyo matokeo ya mechi baina ya hii timu na timu zingine zinazofukuzia ubingwa, ni matokeo decisive katika kuja kutoa bingwa. Kwa maneno mengine, timu vigogo(Simba, Yanga na Azam) ni lazima zihakikishe zinaishinda ama kutoka sare...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

    Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, mchezo umeshaanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. YANGA 0-0 MBEYA CITY - FULL TIME Dk 1: Timu zimeanza kwa kusomana, matokeo ni 0-0. Dk 5: Mchezo una kasi na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk 10: Mashambulizi ya zamu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…