yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania SportsPesa ana sifa ya kuwa mdhamini mkuu Yanga?

    SportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga? Yanga iendelee na mdhamini huyu?
  3. JamiiForums Tanzania Wachambuzi hawa wanaipa Yanga ari ya kushinda makombe

    Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani. Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata muda wa kuruka hewani na kuisemea vizuri Simba hata kama inafanya vibaya. Kwa mtu asiyefahamu tabia za...
  4. JamiiForums Tanzania Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

    Hii sasa ni sifa, yaani Yanga imekomba makombe yote ya msimu!
  5. JamiiForums Tanzania Simba Yanga zitumie fursa ya Mashabiki kuongeza mapato. Nahisi bado kuna room

    Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato. Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga na Simba (Sunderland) HAZIKUPIGANIA Uhuru

    https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika. Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion. Baada...
  9. JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

    Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP), Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

    Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aizawadia Yanga Milioni 100

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 30 Juni 2025 alipokutana na viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wawe na huruma waisadie Simba

    Nadhani mwaka 1988 Simba ilikaribia kushuka daraja ndipo Yanga ya wakati huo ikafanya huruma ya kuachia kombe lichukuliwe na Coastal Union kusudi Simba isishuke daraja. Nawaomba Yanga mwaka kesho wafanye huruma kama hiyo waruhusu angalau Simba ipate kitu cha kuweka kabatini: wawaachie ngao ya jamii.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

    Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  16. JamiiForums Tanzania MH MAMA YETU OMBI LA WANA YANGA NA SIMBA PACOME APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMAN...

    KAMA N MAPENZI YA MUNGU SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI KWAKO MAMA YETU TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
  17. JamiiForums Tanzania WANA SIMBA TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM

    NAJUA NAWAKERAAA OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM crdb final HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA sisi SIMBA MOJA
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  19. JamiiForums Tanzania Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

    Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
  20. JamiiForums Tanzania Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

    Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…