yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  2. JamiiForums Tanzania Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Yanga na pori la nyuma ya nyumba

    Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  6. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Mfahamu adui wa Yanga, Fouz Lekjaa) aliyeko Morocco

    Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team mkutanoni Kiu hiyo siyo ya wabongo ni wadau mbalimbali wa Afrika waliokuwa na hamu wa kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

    Habari wakuu, Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk. Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Enoch...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

    Salaam ndugu Wana JF WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili. Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao...
  9. JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

    Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa. Chanzo: Radio UFM
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  11. JamiiForums Tanzania Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

    Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi. Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo wa mpira wa miguu. Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

    Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.
  13. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

    Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

    Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

    Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

    Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga jifunzeni kwa simba kimataifa

    Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu. Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba. Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

    Draw ya club bingwa Africa tayari . Zalan vs Yanga; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya St George ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan Big Bullets against Simba; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya Red Arrows ya Zambia dhidi ya Primero di Agosta ya Angola
  20. JamiiForums Tanzania Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…