yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

    Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc nayo ikijaribu kutafuta alama 3 huku ikiwa haina kocha mkuu. Mechi inategemewa kuwa ngumu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

    Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo. Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu. Imeisha hiyo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mtumieni Tuisila Kisinda kama kitega uchumi wenu kwa kumruhusu acheze ndondo za mitaani

    Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu Tatu na Mia Tano ( Tsh 3,500/= ) tu. Nitaishukuru wana Yanga SC wote mliopo hapa Jamiiforums...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga chezeni mpira mpate matokeo uwanjani, nyie ni timu bora msimu huu

    Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo. Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya Yanga hawajiamini

    Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa. Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu . Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko. Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
  8. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinapaswa kujifunza zaidi fitna za mechi za kimataifa, tulichokiona Sudan ni trailer tu, picha lenyewe linakuja

    Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo. Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti. Kwa mechi kama ya Jana tena...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi

    Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu. Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yaingia woga; yakataa kucheza friendly na Arta Solar 7 ya Djibout

    Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu ya kujiandaa na mechi za kimataifa. Huku wenzao wa Yanga wakiyakataa maombi hayo. Jambo hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

    Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
  12. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

  13. JamiiForums Tanzania Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga tukitolewa na hii club itakuwa aibu sana

    Hawa ni Zalan FC ,wamekaa kiporipori ,tukitolewa sura zetu tutaziweka wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

    Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
  17. JamiiForums Tanzania Yanga yaweka rekodi mpya ya Dunia

    Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
  18. JamiiForums Tanzania Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

    Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…