yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa sisi Yanga kuiga kila wanachofanya mkia?

    1. Simba Day Tuwaze mambo mapya.
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

    Hii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, Waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga. Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa sana.
  4. JamiiForums Tanzania Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  5. JamiiForums Tanzania Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

    Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
  6. JamiiForums Tanzania Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    ๐˜ฝ๐˜ผ๐™๐™๐˜ผ ๐™”๐˜ผ ๐™’๐˜ผ๐™•๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™๐™Š๐™‰๐™‚๐™Š๐™•๐™„ ๐™’๐˜ผ ๐™๐™„๐™ˆ๐™ ๐™”๐˜ผ ๐™”๐™Š๐™๐™‰๐™‚ ๐˜ผ๐™๐™๐™„๐˜พ๐˜ผ๐™‰๐™Ž (๐˜๐€๐๐†๐€) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa ๐™™๐™–๐™ง ๐™š๐™จ ๐™จ๐™–๐™ก๐™–๐™–๐™ข ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™œ ๐˜ผ๐™›๐™ง๐™ž๐™˜๐™–๐—ป๐™จ, au kama mnavojiita kiswahili ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ, au mnavotambulika ๐—ง๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

    Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  11. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  13. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkiambiwa kila kitu 'Mnawaiga' Simba SC na Simba SC ndiyo 'Baba lao' msiwe 'Mnabisha'!

    "Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola" Chanzo: Sports Arena Wasafi FM. Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa unavyosema Simba na Yanga sasa 'zitaitii' Serikali unajielewa Wewe?

    Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba na Yanga vinamilikiwa na vinasimamiwa na Serikali yako mpaka leo katika Hafla ya Kuwopongeza Tembo...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

    Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
  18. JamiiForums Tanzania Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

    Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day. Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani). Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu. Sasa huku kwetu Utopolo...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

    Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar. Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hili vibe la Al Hilal; Yanga wajitahidi wasizubae uwanjani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ