yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono?

    Je unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono. Tabiri matokeo yako tujuane. Simba 2-1 wydad Yanga 1-0 rivers Wewe je?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga imefungwa na ndio ilikuwa underdog

    Kumekuwa na posts na nyuzi za kujifariji kuwa matokeo ya kwenye derby haihusiani na ubora wa timu kwamba hata timu bora huwa inafungwa. Lakini nawakumbusha tu kuwa kwenye hii derby underdog alikuwa ni yanga. Makampuni yote ya kubashiri waliiweka yanga ndio underdog. Kwa hiyo yanga imepata...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

    Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai. Huyu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha bora ya mwezi: Kipa wa Yanga alivyoteswa na Kibu

  6. JamiiForums Tanzania Mkwasa: Yusuph Manji alipakaziwa TAKUKURU kuuza jezi za Yanga wakati haikuwa kweli

    Anasema licha ya changamoto ambazo Manji alipitia, lakini aliibeba klabu hiyo wakati wa uongozi wake na hadi anaondoka Yanga, pesa aliyoikopesha klabu hakuwa amelipwa. "Alitoa pesa nyingi na hazikurudi hadi anaondoka Yanga, nikiwa katibu mkuu niliitwa Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

    Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
  8. JamiiForums Tanzania Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Yanga: Rivers United ya Nigeria yarahisishiwa kazi na Simba, itapiga kwenye mshono ambao Simba iliusababisha!

    Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!
  10. JamiiForums Tanzania Yanga tusichukulie poa ubingwa wa Ligi, Sioni mnyama akiachia point yoyote kwa mechi 4 zilizobaki, hakuna namna kushinda mechi 3 zijazo

    Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

    Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma. Basi...
  12. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

    Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
  14. JamiiForums Tanzania Jean Baleke aliionea huruma Yanga?! HBD

    Pale Baleke sio wa kukosa magoli. Ile ilikuwa huruma kwa watoto wadogo kisoka. Alikuwa na kila hali ya kupiga hat trick zake. Hii kwa afya ya Uto isingekuwa sawa. Happy Birthday Jean Jini Baleke
  15. JamiiForums Tanzania Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

    Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

    Jifunzeni kwa Simba, ukiangalia mgawanyo wa ufungaji kwenye Simba, utagundua kwamba wafungaji ni wengi na siyo timu nzima kutegemea mfungaji mmoja tu.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kuchanika kwa jamvi siyo mwisho wa maongezi, 'overconfidence' imewamaliza leo

    Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda wowote. Wenzao wameingia kwa dhamira moja ya kupata magoli ili kuondoa unyonge wa miaka mingi, na...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…