yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

    Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa. Jamaa watakuja na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Marumo hajawahi kuifunga Yanga

    Unaweza kuwa na timu Bora lakini rekodi mbaya za Kocha dhidi ya timu pinzani zikakuangusha. Dylan Kerr hajawahi kuifunga Yanga SC. Msimu wa 2015/2016 akiwa Simba SC, Mchezo wa kwanza kafa 2-0, Mchezo wa pili kafa 2-0. Jana akiwa Marumo 2-0. Mweeeh!
  3. JamiiForums Tanzania Marumo watangaza kiingilio bure mechi yao ya marudiano dhidi ya Yanga

    Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga. Mimi kama shabiki nguli wa...
  4. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison: Mchezaji mwenye kasi na munkari ya ushindi ambayo Yanga iliikosa kwenye mechi muhimu

    Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football ni mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga ilikuwa inaikosa kwa muda mrefu,Benard Morrisson anajua kucheza kikubwa na kimalengo,hii ndiyo inayotakiwa katika hizi klabu kubwa hapa nchini, sina shaka na Simba ambayo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

    Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
  6. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga kuvuta Tsh. Millioni 300 wakifuzu fainali

    Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
  9. JamiiForums Tanzania I Bet Msimu huu 2022/23 Yanga atakuwa Bingwa makombe yote 4

    Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
  10. JamiiForums Tanzania Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

    Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao. Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa. Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini. Kila namba...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

    Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
  12. JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wapo mbioni kumchukua Okrah na Phiri

    Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson. Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena maumivu.
  14. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

    Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi huyu msemaji wa Yanga anadhani Rais Samia hajielewi?

    Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA. Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku...
  16. JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kocha: Nasreddine Nabi atema cheche Yanga

    NABI: Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa kwetu lakini ushindi wowote utatupa akili kubwa kule kwao. Tunakwenda kucheza na timu ambayo imekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  20. JamiiForums Tanzania CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

    Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2. 1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000 2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…