yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana Nimefurahi sanaaaaaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

    Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia. Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  4. JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga mtauthibitishia umma haya?

    Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga. https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/ Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita. Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao...
  6. JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga 1- 0 USM Alger

    Hayo ndiyo matokeo ya mechi ya leo. Ngoja nakuja kuwatajia jina la mchezaji atakayefunga.
  7. JamiiForums Tanzania Kila lisilo jema liwakute Yanga leo Mei 28, 2023

    Kila lakheri USM Alger, hapa tunakaza wakija kule kwetu tunawapiga za kutosha. 🔴⚫️
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yanga na mashabiki mnaojazana taifa leo 28 may mnakwenda kushangilia sare (1-1) kama ifuatavyo

    Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni! Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika! Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

    Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Watu nawaona wanajifanya kuitakia Mema Yanga SC ila Mioyoni mwao Usununu (Chuki) imewajaa

    Kwani mfano ukisema tu wazi wazi kama Mimi GENTAMYCINE kuwa naitakia kila la kheri USM Algiers FC utapungukiwa nini? Acheni Uwoga na Unafiki. Jiaminini.
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Siku nyingine Rais akikupa Pesa za Kuwapa Yanga SC mwambie asaidie pia na Maiti zilizozuiliwa Mochwari Mahospitalini

    Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
  15. JamiiForums Tanzania Wenzetu wenye Akili Yanga SC Chief Scout wao ni Ali Mayai wanafanya vyema, Sisi Matutusa tumeletewa Tutusa la Kiholanzi Kutusajilia

    Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa. GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99% huu Usajili wa Wachezaji mahiri wa Yanga SC ( hasa hawa wa Kigeni ) umetokana na Jicho lako Kali la...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

    Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

    Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7. Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Sheria na Nidhamu kitakachosikiliza mashtaka dhidi yake jana tar 24 Mei 2023 pamoja na muwakilishi wake...
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

    Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki. Takwimu hizi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

    Habarini wanajukwaa hili! Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…