yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

    Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
  2. JamiiForums Tanzania Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo. Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kutuweka Roho Juu wana Yanga SC kuwa anasajiliwa Mtu wa maana kumbe ni Mchovu Kibabage ni Kututukana wana Yanga SC

    Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa? Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Usajili wa ngoma kwa Yanga ni wakuchezeshwa.....

    Habari zenu. Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri.. Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni nini?? Hivi yanga wamtake mchezaji washindwe kumtumia pre contract kwa email?? Transfer market ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja? Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/- Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa 35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion Haki kila mauzo ya jezi moja...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaokatalia Yanga wakisema wameshinda Treble. Je, Msimu wa 2021/22 Mamelodi walishinda Treble gani?

    Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
  10. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  11. JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkude akienda Yanga SC atakuwa ametimiza Mambo haya makubwa Mawili ambayo wengi wenu mlikuwa hamuyajui

    Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude. Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

    Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA. Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
  15. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

    Haya mambo yangekuwa Simba kelele zingekuwa za kutosha. Endeleeni tu === Rais wa Yanga Eng. Hersi Said wakati anahutubia kwenye Mkutano Mkuu amesema, kwa msimu wa 2022|23 klabu ya Yanga imefanikiwa kutengeneza zaidi ya Tsh. 7 bilioni. Fedha hizo zinatokana na wadhamini mbalimbali wa klabu...
  17. JamiiForums Tanzania Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  18. JamiiForums Tanzania Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

    Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
  19. JamiiForums Tanzania Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya. Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria. Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa yanga bingwa mara 29

    Kutokana na Mjadala alio Uanzisha zakazakazi Afisa habari wa Azam FC. Kuwa Yanga sio Bingwa Mara(29)bali Yanga ni Bingwa Mara(22)na Simba bingwa Mara 21. Mjadala Umekuwa Mkubwa Wengi wakikosoa ya Kuwa zakazakazi Kahamua Kukaza Fuvu tu. Ukweli ni Kwamba Mimi Muandishi wajuzi tu hivyo historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…