yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga imetikiswa na inasimama mwishoni

    Habari wakuu. Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea. Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake. Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni kuhakikisha kubaki na wachezaji wako Bora zaidi kikosini. Mfano miaka ya Karibuni Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki, wanachama wa Yanga wajitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Mloganzila

    Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii. Mhandisi Hersi...
  4. JamiiForums Tanzania Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

    Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  6. JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

    Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

    Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae. Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko toka kwa Simba. Mambo ya kusema TFF inapendelea, mara ratiba inaibeba Yanga hayo hayakuwepo. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

    Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu. Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  10. JamiiForums Tanzania Namba Sita wa Yanga SC atakayetambulishwa Leo anatokea katika Moja ya hizi nchi Nne tajwa

    1. Congo DR 2. Afrika Kusini. 3. Ivory Coast 4. Burundi Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga imebomoka

    Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
  13. JamiiForums Tanzania Golikipa mahiri Diara mbioni kuikacha Yanga SC

    Diara, golikipa mahiri raia wa Mali, mbioni kuikacha Yanga SC, inaelezwa kuwa, golikipa huyo amepata donge nono la mishahara kwenye moja ya vilabu vikubwa barani Africa.
  14. JamiiForums Tanzania Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

    Fiston Kalala Mayele. Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC. KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako. MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE. 1.Ulikuwa mshambuliaji Bora. 2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno. 3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana. 4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno. 5. Ulikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

    Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu. Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
  16. JamiiForums Tanzania Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

    Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao...
  17. JamiiForums Tanzania Ile amapiano inayopigwa kwenye hili Tangazo la jezi za Yanga inaitwaje!?

  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…