Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF...