YANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI
Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi...