Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na viongozi wao.
ukweli ni kwamba binafsi nilipoona haya yafuatayo tu nilijua kuna kikundi cha watu wachache...
Bila ya Salamu.
Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la Usajili kuelekea msimu mpya wa 2024/2025.
Gb64 ni miongoni mwa wasemaji fasaha katika wanachama wa...
Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba
Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu Dube kujiunga na Yanga lakini pia Simba.
Mimi naomba nishare nanyi kidogo kwa kile ninachokiona...
Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024.
Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka kwa Mabingwa wa Africa, Al Ahly.
Kumbuka Pacome Zouzoua Peodoh amebakisha Mwaka 1 kwenye Mkataba...
Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
1. Khalid Aucho
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
4. Djigui Diarra
5. Yao Kwasi
6. Aziz K
7. Pacome Zouzou
Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira
My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90.
kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 🇹🇿
𝗟𝗶𝗴𝗶 𝗸𝘂𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮
◉ Champions - Yanga SC 🏆
◉ Timu yenye kadi chache - Yanga SC
◉ Timu yenye on target nyingi - Yanga.
◉ Timu yenye mchezaji bora wa mwezi mara nyingi - Yanga (Stephane Aziz Ki ×4)
◉ Hat-trick nyingi...
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.
Haya ni mapungufu ya Chama
1)...
Salaam Wakuu,
Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Kuna tetesi kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union. Taarifa hiyo inadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.