yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Yanga SC walamba dili kutoka GSM, Wasaini mkataba wa bilioni 1 kwa miaka 5

    Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC. Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM...
  2. U

    Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

    Wadau hamjamboni nyote? Haijataja kutokea kwenye historia ya mapikezi ya timu ya soka Tanzania Maelfu Kwa maelfu ya wapenzi wakesha usiku wakisubiri kuwasili kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania.
  3. GENTAMYCINE

    Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
  4. U

    Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili

    Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo. Uamuzi huo wa kumrejesha umefanywa na Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji baada ya Kamwe kueleza changamoto...
  5. GENTAMYCINE

    Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  6. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  7. mwehu ndama

    Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

    huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara : mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka. umejawa sifa za kipumbavu na...
  8. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  9. GENTAMYCINE

    Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  10. Mturutumbi255

    Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  11. vibertz

    Wazee wa mambo hadharani kesho tena wanaingia uwanjani kutoa burudani

    Timu ya Yanga kesho itatupa karata ya pili katika mashindano ya Mpumalanga cup kwa kucheza dhidi ya TX Galaxy. Mechi itakuwa live Azam sport 1 HD saa kumi jioni. Mechi ya Yanga ya kesho itahitimisha mashindano ya Mpumalanga kisha itahamia kwenye mashindano ya Toyota Cup tarehe 28 kwa kukipiga...
  12. GENTAMYCINE

    Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  13. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #MpumalangaCup🇿🇦 ⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 20.07.2024 🏟 Mbombela Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  14. GENTAMYCINE

    Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  15. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

    Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
  16. NALIA NGWENA

    Mnadhani kwa huu mpango kabambe wa viongozi wa Yanga utaacha kuleta lawama na makelele kwa watu makini kama Mimi na wengineo?

    Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na viongozi wao. ukweli ni kwamba binafsi nilipoona haya yafuatayo tu nilijua kuna kikundi cha watu wachache...
  17. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

    Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
  18. GENTAMYCINE

    Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  19. M

    GB64 atoa tathmini ya usajili wa Simba SC kuelekea msimu wa 2024/2025. Auomba uongozi wa Simba uwalinde wachezaji wageni dhidi ya ulozi wa Yanga SC

    Bila ya Salamu. Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la Usajili kuelekea msimu mpya wa 2024/2025. Gb64 ni miongoni mwa wasemaji fasaha katika wanachama wa...
  20. J

    CCM siyo tu inazimiliki Simba na Yanga bali inavimiliki hata vyama vya Siasa, yaani CCM ni Chama Dola!

    Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
Back
Top Bottom