Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Leo tunaambiana ukweli.
Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua.
Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata...
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga
Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5
Mechi ijayo tutawafunga 10
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.
Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.
Orodha hiyo Klabu kutoka...
Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic
Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu
Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani
Mapungufu yake
1. Hana mbinu nzuri
Saed Ramovic ana mbinu butu mno,
Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach...
Huyu Saed Ramovic hana tofauti na aliyekuwa kocha wa Simba Benchika, alipokuja alikuwa anaponda wachezaji na ligi yetu. Mwisho wa siku akaamua kuondoka na akawachukua wale wachezaji aliokuwa anaponda.
In short hana uwezo anajificha kwenye kichaka cha ligi.
Kuna muda GENTAMYCINE japo najulikana na sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC kwa 100% huwa naweka pembeni Utani wangu kwa Yanga FC na kuwa Mkweli na Mwanamichezo ila wana Yanga FC Walioanza Kufuatilia Mpira kipindi cha Kocha Jose Mourinho alipokuwa na Chelsea yenye Mafanikio huwa ama hawanielewi...
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini.
Heshima aliyojitengenezea akiwa...
Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo kulazimika kucheza kwa presha kubwa na ufundi kupungua kwenye mechi zilizokuwa mbele yetu.
Tukumbuke...
Nimehuzunishwa sana na kitendo cha shabiki wa Yanga kumtandika ngumi ya uso mwanachama wa Simba Doctor Mohamed akiwa anahojiwa na chombo cha habari, shabiki huyo aliyekuwa amefuatana na Ally Kamwe wakiwa wanatoka uwanjani alimtandika kibao dokta Mohammed kufuatia Yanga kuondolewa mashindanoni...
Yanga ni wapinzani wangu na siwapendi, nimefurahi sana kuondolewa leo maana tusingekaa mjini, maneno ya shombo ya zungu pori, maneno ya hovyo ya Ally Kamwe yangetuchoma sana sisi watu wa Simba.
Eti wangeshinda leo wangekuwa nafasi ya 5, ujinga kabisa.Ila nnao uhakika kuwa Yanga wamepigana pini...
Wawekezaji tumefurahi yanga kufumuliwa hatua ya makundi Ili nguvu zote azielekeae ligi za ndani Ili tuanze kupiga minotii japo Leo nimepata ya supu ila pia nimefurahi yanga kutolewa pia ila kazi ndio imeanza rasmi.
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.
Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
I salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Bandugu!
Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu.
Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
I salute you kinsmen.
Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.!
Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..!
Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na...
Fundi wa mpira winga machachari ameanza mazoezi na wachezaji wenzake leo hii!
Hilo balaa alilolifanya si powa. Huyu jamaa anajuwa ball kinoma
Kata Tiketi Mwananchi Tukutane Kwa Mkapa Jumamosi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.