yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. kiwatengu

    FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Mashujaa FC 📆 19.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  2. Waufukweni

    Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  3. S

    Kukosekana kwa Umoja na mshikamano ndani ya Yanga kesho wanakwenda kuaga mashindano ya CAF Championship 2024 vs TP Mazembe

    Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe. Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga. Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga. Mzee Manara anamuona Hersi na...
  4. PakiJinja

    Inawezekana Hersi anajiandaa kuondoka Yanga

    Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe. Amefanya mambo makuwa sana ndani ya Yanga na kujijengea heshima. Lakini Kwa ninachokiona hivi sasa, ni dhahiri kuna mgogoro ndani ya...
  5. OMOYOGWANE

    Anguko la Yanga limechangiwa na Eng Hersi mwenyewe na GSM kuwa na tamaa ya madaraka ya kisiasa mwaka 2025

    Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu. Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
  6. PLOII

    Yanga & Simba kwa makocha hawa asilimia 50 heshima ya nchi kwenye soka itashuka

    Umofia wana Jukwaa. Binafsi nasikitika na trend ya timu zetu kimataifa hadi sasa hamna unafuu kwa Timu zetu Kati ya Simba na Yanga. Kuna shida hasa kwenye management Simba iliwaza nini kumsajili Kocha ambae haja- prove kokote alikuwa Kocha namba 2 Raja na hakuna cha maana alionyesha kwa...
  7. M

    Simba, huu sasa ni wakati sahihi kuipiga Yanga goli za kutosha

    Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu. Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga imesheheni WASTAAFU ambao wameshajichokea. Tumieni nafasi hii ambayo tayari matobo yanayovuja...
  8. Kichuguu

    FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  9. ngara23

    Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

    Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni. Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
  10. Waufukweni

    Tetesi: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

    Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  12. Allen Kilewella

    Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
  13. Mkalukungone Mwamba

    Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

    Yanga inaweza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa kutumia mbinu na mfumo unaojikita kwenye nidhamu ya kiufundi, mbinu za kushambulia kwa tahadhari, na kutumia faida ya nguvu ya wachezaji wao muhimu. Hapa kuna uchambuzi wa mbinu na mfumo wanaoweza kutumia: 1. Mfumo wa Uchezaji...
  14. Waufukweni

    CAF yakataa ombi la MC Alger Kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga kwenda Douéra

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra. Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962. Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka...
  15. Waufukweni

    Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  16. S

    Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

    Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi. Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata...
  17. MwananchiOG

    Baada ya kudaiwa fidia ya bilioni 10, Msanii maarufu Baba Levo awaangukia Yanga kumsamehe Ahmed Ally

    Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
  18. Just Pray

    Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
  19. Kipenzi Changu

    Wito wa Waziri Mwana FA kuhusu kuiombea Yanga, BIG NO! Labda kuiombea mabaya

    Namsikia hapa akitoa wito wa kuweka tofauti zetu pembeni na kuombeana kimataifa. Kwamba mimi Simba Sc niiombee Yanga itoboe. Hiyo kwangu haiwezi kutokea, nikitaka kuiombea labda niiombee mabaya. Lolote baya liwakute huko mnakoenda. Ikiwapendeza mkung'utwe mpaka mchanganyikiwe. Mkishenyetwa...
  20. S

    Gusa achia twende kwao

    Jamaa bana wana slogan inafurahisha sana, gusa achia twende kwao, hiyo ndio slogan ya Mjerumani. Ukiangalia wanachokifanya uwanjani hamna lolote, hakuna gusa achia twende kwao Ngojeni wakaliwe huko ugenini
Back
Top Bottom