yalaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  2. Mstahiki Mea

    Familia yalaani, mateka Muisrael anayeteseka huko Gaza

    Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda. Taarifa ya familia hiyo iliyoitoa siku ya jana Jumamosi Agosti 2, 2025 imejiri siku moja baada ya Hamas kutoa video ikimuonyesha...
  3. Just Pray

    GE2025 CHADEMA yalaani askari magereza kumsukuma mwenyekiti Tundu Lissu

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa...
  4. DuaZaMama

    ADC yalaani utekaji wasema hatukubali aibu kwa taifa

    Chama cha Alliance Democratic Change (ADC) kimeungana na viongozi wa juu wa nchi kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushamiri katika baadhi ya maeneo nchini, vikihusisha raia wa kawaida, watoto, na hata wanasiasa. Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa chama hicho wa...
  5. The Zanzibar Echo

    China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  6. Webabu

    Marekani yasema haijahusika na Saudia yalaani mashambulizi dhidi ya Iran.Wote ni waongo na wanafiki

    Utawala mpya wa Marekani umeshtuka kwamba hawawezi tena vita vya ana kwa ana na mataifa mengine ndio maana kwa sasa imeamua kupigana nyuma ya mataifa madogo kama Ukraine na Israel Kwa upande wa Saudia ndio kabisa amekuwa kibaraka ovyo ma mataifa ya kibeberru kwa kuchukua majukumu ya kikuwadi...
  7. Waufukweni

    CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  8. Waufukweni

    Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  9. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
  10. Dalton elijah

    TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

    Baraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa ajili ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria Aidha Baraza limeesa jeshi la polisi kufanya...
  11. Webabu

    Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

    Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina. Katika siku hiyo ya Pasaka...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Geita: BAWACHA yalaani kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA

    Wakuu, Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
  13. L

    UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika. Imelaani vikali sana na kwa...
  14. Roving Journalist

    THRDC yalaani Mwandishi wa Ayo TV kuvamiwa na kunyang'anywa kadi ya kamera Mkoani Arusha

    TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
  15. Yoda

    Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  16. J

    THRDC yalaani madai kukamatwa viongozi Chadema ,waandishi wa habari

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya. THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
  17. P

    Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
  18. Sigonella Island

    Urusi yalaani shambulio la Israel huko Syria

    Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo...
  19. Informer

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  20. MK254

    Iran yalaani mapigo yanayofanyika na US kwa maslahi yake hata baada ya kukana haikuhusika

    Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje....... Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga.... Syria and Iraq assail Washington for...
Back
Top Bottom