yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Ukipata hela yako kula

    Habari za muda huu wanadau wa JamiiAfrica? Juzi kati nilikutana na wazee wawili njiani,wakipeana ushauri wa jinsi ya kutumia hela anayoipata kwenye shughuli zake,kilichonishangaza ni pale mmoja wao alipoomba ushauri wa hela anazopata kila siku azifanyeje,Yule mzee wa pili alimjibu kwa...
  2. M

    Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  3. Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  4. R

    Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
  5. Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
  6. Bajeti yako ya wikiend ni kiasi gani?

    Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
  7. Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  8. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako?

    Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa. Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi haraka. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako? 1. Unawafikia watu...
  9. Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  10. Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yako yanaitwa uhaini

    Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat. Wananchi ndiyo...
  11. PreGE2025 Askofu Dkt. Yohana Nzelu: Watu wanauawa na kupotea, tukizungumza wanasema Askofu amekuwa Mwanasiasa

    Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali. Video: Kitenge TV
  12. K

    PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  13. Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  14. Dunia ya Sasa inabidi kutafuta pesa kuwa ndugu wa ndugu yako🙌

    Mikono mtupu haulambwi na waswahili walishasema, tuzisake tu ili tuwaweke karibu watu vitu.
  15. Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

    Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima...
  16. IFAHAMU KARAMA YAKO NA UITUMIE KUISHI VYEMA DUNIANI

    Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k. Ila amini nakwambia hayo...
  17. Kama unataka pesa hupaswi kutafuta pesa bali unapaswa kutafuta kitu kitakachoongeza thamani yako. Hicho kitu kitaleta pesa mifukoni mwako.

    Mtu anayeamka usiku wa manane kwenda kutafuta pesa atateseka mpaka siku analazwa chini kaburini bila kuzipata hizo pesa na yawezekana akazipata huku akiwa na ugonjwa utakaomlia pesa zake zote huko uzeeni. Hawa unaowaona wanaamka saa tisa alfajiri na kulala saa 6 usiku kutafuta pesa katu...
  18. M

    Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

    Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu. Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako Unaweza...
  19. Ukiona dhuluma na ukanyamaza,Je dhamiri yako inasemaje?

    👉🏾Dhamiri ni ile sauti ya Mungu rohoni inayotuambia ni sawa au si sawa, ni mema au ni mabaya. Ni muhimu inatufundisha kutenda haki, na hutoka kwa Mungu mwenyewe, kama ilivyo katika Warumi 2:15, ambapo inasema; "Kwa maana ni ishara ya kazi ya sheria ya Mungu iliyo katika mioyo yao, wakijua kuwa...
  20. Jinsi ya Kuandaa Questionnaire ya Research yako na vitu vya msingi vya kuangalia

    Moja kati ya hatua muhimu sana unapokuwa kwenye process ya kufanya research, especially hii aina ya quantitative huwa ni kipengere cha kuandaa questionnaire. Lakini ukweli ni kwamba kuandika questionnaire huwa siyo tu kitendo cha kuamka unakukusanya maswali kama unavyoonaga walioandaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…