yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

    This one is for the people. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
  2. JamiiForums Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

    Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo. Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.
  3. JamiiForums Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  4. S

    JamiiForums Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  5. JamiiForums Karibu tukupaulie nyumba yako

    Karibuni sana tuwahudumie.
  6. JamiiForums Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

    Hapa jamvini kuna wenye magari na wapo ambao wanaendelea kuyatafuta magari na siku hizi gari sio anasa tena ni hitaji la muhimu, hivyo basi ndoto ya wengi ni kuwa na gari. Ukiwa na gari yako, je vitu gani ungependa kulifanyia gari yako? Na vipi usingependa kulifanyia gari yako? Mwingine...
  7. JamiiForums Njoo upime IQ yako hapa: Je, huyu mtu kajiua au kauawa?

    Chunguza hii picha ya huyu mtu aliyekufa kwa kamba kisha toa maelezo yenye weledi tueleze Je, kajiua au kauawa? Fikiria wewe ndio ungekuwa askari mpelelezi
  8. A

    JamiiForums SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  9. M

    JamiiForums Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  10. JamiiForums Rais Dk. William Ruto nimependa IQ yako, Commitment, daring na your Love for Kenyans, ila huna Uchumi wa kutenda Uliyoyaahidi

    Na hapa ndiyo Kosa Kubwa Marais wengi Wateule hasa wa Barani Afrika huwa mnafanya kwa kuja na Honey Speech zenu tena za Kusisimua na kutia Moyo ila implementation huwa ni Zero. Rais Mteule wa Kenya Dk. William Ruto baada ya kukusikiliza Kiumakini na Hotuba yako ambayo kwa 90% imelenga Uchumi wa...
  11. S

    JamiiForums Mwigulu Nchemba sahau ile ndoto yako ya kutaka kuwa Rais Tanzania

    Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei...
  12. JamiiForums SoC02 Tawala Fikra zako Ili uweze kuboresha maisha yako

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
  13. JamiiForums Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

    Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari Unakuja PM Mshahara unajulikana Update Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
  14. JamiiForums SoC02 Kusitasita na hofu kunapelekea usiweze kufika katika hatma yako

    Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
  15. JamiiForums SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  16. D

    JamiiForums SoC02 Kuwajibika ni haki yako

    HAKI NA WAJIBU Kuwajibika ni haki Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote linalomaanisha sehemu ambayo watu hufanya kazi ili kujipatia chochote kitu cha kujimimu na maisha haya ya kila...
  17. JamiiForums Methali na mahusiano yako

    Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo" "Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao". Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
  18. JamiiForums Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  19. JamiiForums Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  20. JamiiForums Kwako Juma Aweso na Wizara yako ya Maji

    Habari za mchana huu wadau wote wa jf? Poleni na mihangaiko ya kutafta pesa. Mtaani kugumu kweli, kila kitu bei juuu😆 Niende kwenye point! Wilaya ya Nkasi ni moja ya wilaya za mkoa wa Rukwa. Hii wilaya ina uhaba mkubwa sana wa maji. Mito ni mingi ila asilimia 90 ni mito ya msimu mmoja, yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…