xiaomi

  1. Traxtion

    Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  2. Vien

    Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
  3. Mad Max

    Xiaomi bwana! Wameiruka Xiaomi 16 wametoa Xiaomi 17, 17 Pro na 17 Pro Max!

    Xiaomi wamekua wakitoa models za Xiaomi (zamani Mi) flagship tokea 2011 walivyotoa Mi 1 hadi 2021 wakaona waziite tu Xiaomi 12 na kuachana Mi. Sasa mwaka jana walitoa Xiaomi 15 ikiwa na simu nne. Xiaomi 15 base, 15 Pro, 15 Ultra na 15S Pro. Kwahiyo tukajua mwaka huu watatoa Xiaomi 16...
  4. Traxtion

    Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
  5. monotheist

    Xiaomi Redmi note 12 inauzwa

    Simu haina creck kioo safi kabisa Ram 8GB ROM 128GB CPU Snapdragon 685 Android version 14 BETTERY health Good Tsh 185k 0692402211 Airport (lumo)
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗿𝗮𝘀𝗺𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗝𝗶𝗻𝗮 𝗝𝗶𝗽𝘆𝗮

    🗯️ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI. 🗯️ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 𝗶𝗺𝗲𝘄𝗮𝗽𝗶𝗴𝗮 𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗻𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘇𝗶𝗻𝗱𝘂𝗮 𝗽𝗿𝗼𝗰𝗲𝘀𝘀𝗼𝗿 𝗯𝗼𝗿𝗮

    Miaka 15 imefanya Kampuni ya Xiaomi kuwa Tishio dhido ya Kampuni kongwe ulimwenguni Apple kwenye matoleo mbalimbali ya vifaa vya kieletroniki ulimwenguni. Katika uzinduzi wake wa miaka 15 toka kuanzishwa kwa kampuni ya Xiaomi, imefanikiwa kuunda Flagship Processor bora Sana aliyewapiga chini...
  8. Mad Max

    Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  9. Christian K

    Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Xiaomi Redmi Note 11 Storage Gb128/6Gb Ram Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie Laini mbili Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage) Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
  10. BrainOs

    Hello,, nahitaji xiaomi redmi note 12s

    Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
  11. Mad Max

    Xiaomi wamezindua SU7 Ultra: Hii Hyper ina 1500+ HP

    Wapenzi wa magari especially EV na hybrid. Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV. Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua...
  12. Pekejeng

    Ni ipi tofauti ya simu za Redmi na Xiaomi?

    Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi Tofauti na...
  13. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vinavyotumia mfumo wa ANDROID kama | Smart Android TV | All Android Phones | Samsung, Xiaomi, Google Pixel, Huawei

    Sony, Lg, Smart watch za Android… Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  14. Lexus SUV

    Phone4Sale Xiaomi Redmi 9T

    Habari ninauza simu ambayo inaitwa jina tajwa hapo juu , Specifications: 1..Internal memory 128GB , 4GB RAM, UFS 2.2 - 128GB 2..MAIN CAMERA Quad 48 MP, f/1.8, 26mm (wide), 1/2.0", 0.8µm, PDAF 8 MP, f/2.2, 120˚ (ultrawide), 1/4.0", 1.12µm 2 MP, f/2.4, (macro) 2 MP, f/2.4...
  15. C

    Xiaomi Tripod/ Selfie Stick

    Get a high quality multipurpose Tripod/ selfie stick from Xiaomi Price: 55,000/- (negotiable) Location: Kibaha Contacts: Call +255 658700510
  16. Mamaya

    Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Wakuu habari, Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni...
  17. Traxtion

    Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

    Xiaomi wameachilia chombo cha Xiaomi 12S Ultra ilipofika July, 09, 2022 Simu hii imeipita uwezo hata Samsung Galaxy S22 Ultra na bado kuna mtu humu nilimsikia anasema eti kwa Android simu ni Samsung na Google Pixel tu wakati hata Google Pixel 7 pro haifui dafu kwa Xiaomi 12S Ultra Hiyo hapo ju...
  18. Richmoto Kushmoto

    Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

    hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
  19. Mdau jf

    Naomba kufahamu juu ya hili kwenye simu za XIAOMI

    Kama bango linavyosema Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google? Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
Back
Top Bottom