wydad

Wydad Athletic Club (Arabic: نادي الوداد الرياضي), commonly referred to as Wydad AC and known as Wydad, Wydad Casablanca, or simply as WAC, is a Moroccan professional sports club based in Casablanca. Wydad AC is best known for its professional football team that competes in Botola, the top tier of the Moroccan football league system, they are one of three clubs to have never been relegated from the top flight.
Founded on 8 May 1937 by seven Moroccans belonging the national movement for independence, led by Mohamed Benjelloun Touimi. They initially focused on water polo to give indigenous Moroccans the right to access swimming pools before Mohamed Ben Lahcen Affani – also known by the nickname of "Père Jégo" ("Father Jégo") – created the football section in 1939, he was the first manager of the team. The club has traditionally worn a red home kit since inception.
Domestically, Wydad has won a record of 22 Moroccan league titles, 9 Moroccan Throne Cups and 7 National Super Cup, becoming the most titled club in Morocco. In continental and international competitions, the club has won three CAF Champions Leagues, one African Cup Winners' Cup, one CAF Super Cup, one Afro-Asian Club Championship, one Mohammed V Trophy, one Arab Club Champions Cup, one Arab Super Cup, three North African Championship Cup and one North African Cup.
The club also competes in basketball, handball, field hockey, cycle sport, volleyball, and rugby. Wydad also holds rivalry with AS FAR.

View More On Wikipedia.org
  1. Scars

    FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

    Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi. Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano. Mchezo ni saa 3 kamili usiku Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili. Hizi hapa ni...
  2. S

    Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

    Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
  3. Scars

    FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

    Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco. Mchezo umeanza 20' Mamelodi Sundowns wanafanya mashambulizi kadhaa, wageni nao wanajibu lakini bado hakuna umakini...
  4. Scars

    FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

    Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
  5. master of cities

    Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  6. McCord

    Simba Sc kapambana kiume, kutolewa na Wydad ni suala la kiufundi zaidi.

    Hello fellas! Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama. Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
  7. Sultan MackJoe Khalifa

    Kwa ubora na ukubwa wa Wydad bingwa mtetezi CAFCL, ilitegemewa wangepata ushindi mnono

    Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo. Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl. CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super...
  8. S

    Hisia: Wydad 4, Simba 2

    Huu sio utabiri bali ni hisia zilizonitokea dakika kama moja iliyopita Matuta yanaweza kuhusika. Tusubiri, dakika 90 ndio msema kweli.
  9. covid 19

    Wanasimba tupo imara sana, tuna hali zaidi na furaha kubwa kusubili match yetu ya marudiano na wydad Casablanca.

    Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba. Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa. Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
  10. mwarabu feki

    FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  11. DELETED ACCOUNT

    Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

    Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
Back
Top Bottom