Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta pamoja na mke wake na watu wengine, alikuwa mshirika wa kibiashara wa Rais William Ruto na alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh1.5 trilioni (takribani...