wote

  1. Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  2. Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  3. Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  4. R

    Kalamu ya Askofu Bagonza: Sio pigo kwa Tundu Lissu, Tumepigwa Wote

    Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua...
  5. Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  6. S

    Kama Mungu ni wa wote, kwanini wengine wateseke?

    Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
  7. Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

    Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU. Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!! Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama...
  8. GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  9. H

    Kwa Wote Tuishio Sasa Hakuna Mzalendo wa Kweli na Thabiti Wa Kumfikia Tundu Antipasi Lissu

    Kwa kila mtanzania aliye na utii kwa nafsi yake na mbele za Mungu, atakiri kwamba kwa sisi sote tuishio sasa, hakuna mtu mwenye uzalendo wa kiwango cha juu kabisa, na mapenzi mema kwa Taifa ketu na wananchi wote, ambaye anaweza kumfikia Tundi Antipasi Lisu. Lisu alikuwa na bado ana nafasi ya...
  10. Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  11. Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  12. Kwa vijana wote wenye mtazamo chanya

    Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka kiakili, kiroho na kifikra—lazima uamue leo kuwa maisha yako yana thamani na kwamba uko hapa kwa kusudi...
  13. Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  14. Humu tunaandika Uzi wa kutafuta wanawake wa kuoa kwa lengo la dhati kabisa lakini utakuta Uzi wote umejaa wanaume tupu au ndo mmomonyoko wa maadili?

    Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana . Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
  15. Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  16. K

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  17. Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  18. Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  19. D

    Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  20. T

    GE2025 Wakikuzingua susa, bora mkose wote mama

    Mama Wakikuzingua wazingue pia. hawakujui vizuri Kwani una kipi cha kupoteza, bora mkose wote kuliko ukose mwenyewe Ni ushauri tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…