Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana.
Kifuatacho sasa ni kwa Wafadhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund, Korea Kusini, Japan, Canada, UNDP, Sweden, Finland, Uswizi na Norway.
Kwa kifupi hakuna rangi CCM...