wizi wa kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakili Dickson Matata: Uchaguzi unatakiwa uwe huru na wa haki

    Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata wakati akizungumzia uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki katika Uchaguzi...
  2. Mindyou

    Wasimamizi wawili wa Uchaguzi wakamatwa kwa tuhuma za udanganyifu kwenye Uchaguzi

    Maafisa wawili wa uchaguzi walikamatwa katika kituo cha kujumlishia kura cha Kigando, wilayani Mubende, kwa tuhuma za kuhusika na udanganyifu wa uchaguzi. Watuhumiwa ni Kasaija Robert, Afisa Mrejeshaji wa Parokia ya Bubanda, na Mutabaazi Moses, askari polisi aliyekuwa zamu. Walikamatwa baada ya...
  3. Roving Journalist

    PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  4. R

    Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  5. McLaren

    Video: Maafisa wa Tume ya Uchaguzi Uganda wakiwa wanatiki kwenye karatasi ya kupiga kura

    Wakuu, Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai kuonyesha maafisa wa Tume ya Uchaguzi wakiwa wamevaa vesti za NRM wakiandaa karatasi za kupigia kura kwa...
  6. McLaren

    Raia akamatwa na Polisi wa Uganda kwa kumiliki vifaa na zana za Uchaguzi

    Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu 83 zinazorekodi wasimamizi wa uchaguzi waliopokea vifaa hivyo. Aliyekamatwa ni Matovu Micheal...
  7. K

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa? Aidha amaetaka kuhukumiwa...
  8. P

    GE2025 Wanayopitia walimu wakati huu baada ya kushiriki kwenye uchafuzi wa kumpitisha Samia

    Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki kutia mikono yao damu Kuna mwalimu namjua binafsi kutoka Kahama, ambaye baada ya kumaliza jioni...
  9. P

    GE2025 Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

    Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50. Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya...
  10. McLaren

    GE2025 M/Mwenyekiti ACT Ismail Jussa: Siku ya kwanza ya Uchaguzi Zanzibar kumefanyika uhuni mkubwa. Watoto wadogo walipelekewa kupiga kura

    Wakuu, Hawa ACT walionywa sana na CHADEMA kwamba wasishiriki Uchaguzi huu maana wataenda kuibiwa kura lakini hawakusikia sasa hivi wanatoa milio tu. Haya sasa kiko wapi? --------------------------- Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Ismail Jussa amekosoa kile alichokiita uchakachuaji uliofanywa...
  11. Cute Wife

    GE2025 Safari hii hata hawajajisumbua kupitisha greda watudanganye, wanajua NIDA zitafanya kazi anyways!

    Wakuu, Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂 Safari hii ni unyama, kiburi kiburi tu, mwingine hadi katuita mbwa huko😂😂 NIDA zinawapa kiburi kwelikweli. Utoke...
  12. McLaren

    GE2025 Profesa Shivji: Wizi wa kura unafanya Uchaguzi upoteze maana na ndio maana watu wengi hawataki kushiriki

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Profesa Issa Shivji akiwa anazungumza na Jenerali Ulimwengu kwenye kipindi ambacho kinarushwa The Chanzo Clip ni ya mwaka jana lakini vitu walivyoongea humu vinareflect tunayokutana nayo na kuyaona sasa hivi Kuna sehemu hapo Profesa Shivji amehoji na kusema...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Maliki Marupu: Polepole alitoa madai ya uongo kuhusu wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

    Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia mkoani Morogoro, Maliki Marupu, amemjibu vikali Polepole na kumtuhumu kwa upotoshaji. Akizungumza na...
  14. K

    Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha...
  15. S

    Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

    Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
  16. tonicimmobility

    Wasira aeleza jinsi wanavyoiba kura

    Huu umekua utamaduni sasa katika chaguzi kuu Wanaamua kuongeza kura za watu wafu ili kukamilisha kusudi lao Chanzo: Starnews
  17. and 998 others

    PreGE2025 Wizi wa Kura haunogi bila CHADEMA kushiriki uchaguzi (Vikaragosi havina mvuto)

    Sasa kama CHADEMA hawashiriki uchaguzi hata wizi wa Kura haunogi na hao Vikaragosi pandikizi mapacha
  18. Mangwea1900

    Kwa maoni yangu, hakuna wizi wa Kura Tanzania

    Nimeamua mwenyewe kusema kuwa hakuna kura zinazoibiwa Tanzania kwa mazingira sababu hizi; 1. Wagombea wa vyama vya upinzani wenyewe kwa vinywa vyao utawasikia wakisema kwenye majukwaa, oooh Ubunge mpe fulani wa chama lingine isipokuwa nipeni mimi. 2. Wapinzani wenyewe vichwa vyao vipo resi...
  19. JET SALLI

    Hivi ni chama kipi cha siasa kati ya hivi ACT, CCM na CHADEMA kinaweza penda kuenguliwa kwenye mchakato wa uchaguzi na kikavumilia?

    Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na uchaguzi wake wa kwanza mwaka 1995 pamoja na mapungufu yake makubwa. Kuna kitu kinaitwa...
  20. W

    PreGE2025 Ado Shaibu akiri anawaogopa CCM na vyombo vya dola watawaibia kura zao

    Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
Back
Top Bottom