wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. WIZARA ya elimu ingetoa Muongozo unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba

    Kama Mzazi WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa Sikukuu zoote watoto baadhi ya Shule wanatakiwa kwenda Shuleni Na hata kesho,watoto hao badhi...
  2. Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  3. J

    Wabunge waitaka Wizara ya fedha iipe fedha Wizara ya TAMISEMI itekeleze majukumu yake

    WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
  4. S

    Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  5. Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  6. Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  7. Wizara na BoT Tuwekeeni Upembuzi unaoonesha kila awamu ilikopa Jumla ya shilingi ngapi !?

    Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021 Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la...
  8. Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  9. SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  10. Wizara ya Afya: Zimetimia Siku 41 hakuna mgonjwa mpya wa Marburg

    Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
  11. Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  12. Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
  13. Ushauri: Uhamiaji irudishwe wizara ya ulinzi

    Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ. Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF. Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
  14. T

    Ujumbe kwa wizara ya Afya-Sitisho la misaada ya Marekani lazua Taharuki

    Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
  15. Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  16. M

    Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu nendeni Ifakara mkajionee madudu

    Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi. Jambo la ajabu ni kwamba:- 1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana. 2. Barua...
  17. Wizara ya ardhi yashiriki uzinduzi wa wiki ya sheria kwa mwaka 2025

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma. Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
  18. Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  19. PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  20. Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…