wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
  2. Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  3. Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  4. J

    Reforms zinahitajika kwenye baadhi ya Wizara za Serikali

    Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi? Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena...
  5. Waziri mkuu mwenye Saini kubwa ya pesa unasema watu wamelipwa naomba majibu na mumutagi hapa

    1.Magoli ya mama 2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi. 3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa pesa ilitoka wapi na wewe ulikuwa waziri wa Saini. 4.Media zimepata pesa mpaka kuitwa wafuwasi wenu...
  6. SI KWELI Heche: Vijana wizara mmepewa sasa ni kujipanga katika kukamatia fursa

    Wakuu, Ni kweli kauli hii imetolewa na makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche?.
  7. Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  8. The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  9. Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  10. Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

    Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary. Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba. Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
  11. Kwa hiyo Mchengerwa kaja na Wizara ya Afya kufuta ushahidi wa idadi ya vifo wakati wa uchaguzi?

    Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya. Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
  12. #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi. Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu. Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
  13. M

    PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  14. Hiyo Wizara ya Vijana itakuwa na tofauti gani na UVCCM?

    Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ... Shida ya Nchi hii ni CCM Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara.. Kwanini? Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza, Utu/watu baadae... Hiyo ndio slogan yao.. Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
  15. K

    Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  16. JWTZ, Msiache kuitazama Wizara ya Fedha na Benki Kuu. Watakuwa wanachota hela in a panic Mode

    Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha. Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
  17. Hizi ndio wizara ngumu ambazo zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza

    Niaje waungwana Siku ya leo ningependa kuangazia wizara 2 ambazo ni ngumu kiutendaji, na zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza ili zilete ufanisi, au matokeo chanya kwa wananchi na serikali kwa ujumla. Wizara hizo ni Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Mheshimiwa Abdallah Ulega. Na Wizara ya...
  18. Z

    Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  19. Wizara ya Maji: Mfumo wa Maji uwe wa "Water Pipeline Grid" ya Taifa

    Habari Tanzania ! Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote. Watu waburudike wafurahie nchi yao. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi muungane kimajukumu na Wizara ya Maji; maana maji mengi yanapotea sehemu zenye Barabara na...
  20. Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…