wizara ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  2. D

    Naibu Katibu Mkuu wizara ya maji apokelewa rasmi, ateta na watendaji

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es salaam. Katika...
  3. Roving Journalist

    Waziri Aweso ampokea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Zakaria Ambrose baada ya uapisho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
  4. Waufukweni

    Zungu: Dar Maji hamna, lakini bili zinakuja kama kawaida shida ni nini?

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameitaka Wizara ya Maji kufuatilia sababu za kuendelea kutolewa bili za maji kwa wakazi wa Dar es Salaam licha ya kuwapo kwa uhaba mkubwa wa maji kwa kipindi kirefu. Akizungumza leo Jumatano, Januari 28, 2026, bungeni jijini Dodoma, Zungu amesema hali hiyo ni kero...
  5. A

    KERO Watumishi Huduma za maji ngazi jamii (CBWSO) tunaomba kupewa haki za kiutumishi kama wengine

    Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine Miezi mitatu bila mshahara...
  6. Masalu Jacob

    Wizara ya Maji: Mfumo wa Maji uwe wa "Water Pipeline Grid" ya Taifa

    Habari Tanzania ! Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote. Watu waburudike wafurahie nchi yao. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi muungane kimajukumu na Wizara ya Maji; maana maji mengi yanapotea sehemu zenye Barabara na...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Wizara ya maji yazindua na kukabidhi kisima cha maji Buigiri

    WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, mara baada ya...
  8. Roving Journalist

    Waziri Aweso: Kati ya Vijiji 12,318 ni Vijiji 1,500 tu ambavyo havijafikiwa na huduma ya maji

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso leo Alhamisi tarehe 8 Mei 2025, atawasilisha Bajeti ya Mageuzi Sekta ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 Bungeni jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/u309s_YjOQc?si=PnE9QNFGBwbC6PIJ Mafanikio ya Sekta ya Maji yamechochewa na Uongozi wa Rais Samia na...
  9. P

    Hii nchi ina wizara ya maji?

    Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
  10. M

    Wizara ya maji kuchunguza upatikanaji maji baridi Simiyu-Dkt Lugomela

    Serikali kupitia wizara ya Maji imehaidi kutuma timu ya wataalam na mitambo ya kisasakufanya utafiti maalum wa upatikanaji wa maji baridi katika maeneo yenye changamoto ya maji chumvi hususani katika wilaya ya Maswa na Meatu mkoani Simiyu. Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Raslimali za...
  11. Namche Bazar

    Waziri Juma Aweso tunaomba uitazame na kutuondolea utapeli unaondelea Tanga UWASA

    Wakuu habari za asubuhi? Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa maji isipokuwa mita pekee ndio nilipewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira(TANGA UWASA)...
  12. Mindyou

    Rais Samia: Watu waanze kununua maji kwa jinsi wanavyotumia, na hununui kwa Aweso unanunua kwa mashine

    Wakuu, Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na matumizi yao. Kupitia mfumo huo, wananchi watahitajika kulipia maji kabla ya kuanza kuyatumia kwa kutumia...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya 'Tank la Maji' kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanyika leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani...
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025

    Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ Viongozi mbalimbali wa chama tawala na serikali, pamoja na viongozi wa dini, wamewasili kwenye ukumbi wa Mlimani City kushiriki...
  16. P

    KERO Responded Mbezi Beach hakuna maji karibu wiki sasa huu ni zaidi ya mgao, mnatukomoa!

    Wakuu, Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji. Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Aweso: Rais ametoa maelekezo ni marufuku kumkatia maji mwananchi wa Mwanga, Same kipindi cha sikukuu na wikiendi!

    Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh: Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
  18. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  19. Cute Wife

    KERO Hata ukiwa na pump tabu ya maji iko pale pale kama asiyekuwa nayo kutokana na presha ndogo ya maji. Wizara ya Maji tuambieni ukweli

    Wakuu, Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia! Arooo, sasa hivi kwanza maji hayatoki, yakitoka ni usiku, halafu presha ni ile ya kuchululu, yaani hata pumzi hazifanyi kazi...
  20. P

    DOKEZO Ni kweli hali ya upatikanaji huduma ya maji ni mbaya kiasi hiki? Wizara ya Maji tuambieni ukweli wa video hii

    Salaam Wakuu, Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa? Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana...
Back
Top Bottom