wizara ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

    Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya mji wa Bunda yashindwa kutoa Tsh. 275,000 kuvuta maji shule msingi Nyabehu

    Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri ya mji ya Bunda, kwenye shule hii tangu kuanzishwa kwake hakuna huduma ya maji hali inayopelekea...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu iweke vitabu vipya vya fasihi andishi katika shule za Sekondari

    Tangu zamani vitabu vya fasihi andishi vinavyotumika ni vilevile si kwenye somo la kiswahili wala English. Vitabu kama 'The black hermit' na vyakina Ngoswe na kilio chetu ni vya zamani sana. Serikali ibadilishe vitabu na ilete vitabu vipya. Haiwezekani mimi nisome vitabu hivyo na wajukuu...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu acheni kuwa madalali wa Scholarship za Ubalozi

    Jana nilipata nafasi ya kukutana na Kiongozi mmoja wa Ubalozi wa New Zealand nchini Tanzania, tulipata wasaha wa kula chakula cha jioni yeye pamoja na familia yake. Tulikuwa kwenye hoteli moja maarufu sana haa Dar es Salaam, na baada ya kupata chakula tulizungumza mambo mengi na kupiga stori...
  5. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa Mkoani Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri katika kutoa Nishati Jadidifu. Akizungumza Julai 30, 2024 baada ya kuweka Jiwe hilo la Msingi Waziri wa...
  6. JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu Mmetuchoma.

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2023 kubadilisha machaguo yao ya masomo wanayotarajia kusoma wanapoendelea na elimu ya juu baada ya kuongeza tahasusi 49. Mabadiliko hayo yatagusa tahasusi 'kombinesheni' za...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna bora ya kuboresha mfumo wa elimu Tanzania

    Kwanza nipende kuwapongeza serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu Zanzibar, wizara ya Elimu Tanzania na Taasisi zake zote za Elimu katika kuendelea kuboresha mifumo ya Elimu.Pia niwapongeze sana Jopo la Jamii forum kwa kubuni shindano hili la story of changes Mungu awabariki sana mzidi...
  8. JamiiForums Tanzania MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Norah Waziri ahoji kuhusu wasichana kurejea shuleni baada ya kupata ujauzito

    "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa Waraka wa Elimu namba mbili wa mwaka 2021 kuhusu kuwarejesha Wanafunzi waliokatiza masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kupata...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 The government to cut off taxes and subsidize some costs in private schools to reduce school fee burdens on parents

    In Tanzania, education is a cornerstone for sustainable development, serving as the foundation for a progressive society. Presently, parents with children in public schools are relieved of school fees from primary through secondary education. As opposed to parents who choose private schools for...
  11. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Transforming Tanzania's education sector: A vision for the next decade

    TRANSFORMING TANZANIA'S EDUCATION SECTOR: A VISION FOR THE NEXT DECADE Tanzania, a land of diverse cultures and breathtaking landscapes, envisions a future where education becomes the cornerstone of progress. Over the next ten years, we will embark on a transformative journey, ensuring that...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, anawafundisha wanafunzi pia. Serikali mko wapi?

    Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika kuanzia wazaz, walezi na mamlaka za juu. Kuna shule hapa jirani yangu ambapo ilibidi nifanye mchakato wa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaomba kutumia Tsh. 1,968,212,534,000.00 katika mwaka 2024/25

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia chini ya Waziri Mhe. Prof. Adolf Mkenda imeomba bunge kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara yenye jumla ya Shilingi 1,968,212,534,000.00. VIPAUMBELE Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na...
  17. JamiiForums Tanzania CAG Kichere: Wizara ya Elimu haijatoa Tsh. Bilioni 1.23 za Elimu Bure

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini. Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo aweka wazi muingiliano wa kimajukumu kati ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Apanga kukaa vikao kutatua changamoto

    Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya elimu ya awali, msingi na sekondari. Kulingana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Kitila Mkumbo...
  20. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…