wizara husika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO YA BARABARA: SMZ NA WIZARA HUSIKA, NI SABABU IPI INAYOFANYA BARABARA YA BWAWANI MALINDI ZANZIBAR ISITIWE LAMI!!!

    Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi. Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
  2. N

    JamiiForums Tanzania TRC: Mabehewa ya SGR kwa ajili mizigo kuanza rasmi June, 2025, majaribio tayari yamekamilika

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kwamba zoezi la majaribio ya Mabehewa ya Mizigo limekamilika kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya kusafirisha mizigo inayotarajiwa kuanza June 2025. Itakumbukwa mnamo Desemba 24, 2024, TRC ilitoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  4. JamiiForums Tanzania Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
  5. JamiiForums Tanzania Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  6. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyumba ya Mungu na maisha ya wananchi

    Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake. Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wenye Professions za Wizara husika kwanini Gerson Msigwa hajawekwa katika yake ya Media?

    Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Wahitimu wa vyuo wanaotakiwa kujiajiri na wawekewe mfumo maalum na mahsusi wa kodi ili kukabili tatizo kubwa la ajira na kukuza uwajibikaji wa vijana

    Hali ilivyo sasa. Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania, Azam, Cocacola Kwanza Tanzania na Mohamed Enterprises METL. Mfumo unataka kampuni zote...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kusoma mapato na matumizi yaliyopita kwa wizara

    Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti. Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…