Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini.
Akizungumza jijini Dodoma...
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.
Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.
Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi...
Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?
1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma.
Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha?
Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar:
-Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu.
-Licha ya semester kuwa inaenda kumalizika wengine hata hiyo tuition fee pia bado haijalipwa.
-Majibu ya Wizara pesa...
Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika.
Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
https://harvardea.sc.tz/index.php
Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL.
Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
elimu
jamii
katibu
katibu mkuu
maendeleo
mkuu
nacte
necta
ustawi
ustawi wa jamii
wanawake
wanawake na
wanawake na watoto
watoto
waziri
wizarawizara ya elimu
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth).
Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT).
Dkt...
Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi?
Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena...
1.Magoli ya mama
2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi.
3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa pesa ilitoka wapi na wewe ulikuwa waziri wa Saini.
4.Media zimepata pesa mpaka kuitwa wafuwasi wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.