wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga. Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania kwa pamoja tuzilinde rasilimali zetu za nchi kwa pamoja na kwa wivu mkubwa sana

    Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA ina wivu na Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa wavae sketi wajipeleke bungeni kwa nafasi hizo 19, wasingekataa Hizi sarakasi zote ni kutaka WOTE...
  4. JamiiForums Tanzania Wivu wake umefanya anione mbaya

    Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile! Kama kawaida yetu mabaharia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

    WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya... ''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanawake wasio na wowowo wanaroho ya wivu sana na hawajiamini?

    Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini! They are soo insecured
  7. JamiiForums Tanzania Nina wivu na mchepuko

    Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana. Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa. Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Wivu wa Mbowe ulivyompeleka mahabusu

    Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia. Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na wivu. Sasa naona kama vile kuna watu wanapanga kumzuia Mbowe asisheherekee kutoka mahabusu...
  9. JamiiForums Tanzania Sijui kama ni wivu au alinichoka

    Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi, kuondoka nakurudi kwao mala 2 hii safari ya tatu. Kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukana matusu kwenye sms kilanikitaka kumujulia mtoto hali yake. Mara ya kwanza aliondoka alikuta sms ya jinsia yakike...
  10. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  11. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wivu ni kielelezo cha juu cha ubinafsi alionao mwanadamu

    READER DISCRETION IS ADVISED Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7 Kuhusu mkasa wa mauaji...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tuzuie vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi

    Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawachukii ufisadi bali humuonea wivu anayekula

    Watanzania hawachukii ufisadi na ukiona wanapiga kelele ujue ni wivu tu kwa mtu fulani, ukitaka kujua hilo mtafute mpiga kelele mmoja mpe nafasi uone maajabu! Mtanzania na wizi ni mtu na Nduguye hawatengani, watz ndivyo tulivyo. Ni wezi hakuna mzalendo hata sisi tunaopiga kelele tunahitaji tu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

    Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa. Nikajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vile huku...
  17. JamiiForums Tanzania Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen. Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja...
  18. JamiiForums Tanzania Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Desemba 27, 2021 jioni baada ya mume kurudi kutoka matembezi huku mkewe akitaka kujua kuhusu uhusiano wa mumewe na...
  19. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  20. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa WMNN na IGP: Magari ya kiraia kuweka taa za dharura (siren)

    Au ni Wivu tu? Ghafla kwa mbali nikaona gari linakuja nyuma huku limewasha taa za dharura (sirens). Sikuwa na haraka sana kulipisha kwani kama mita 100 mbele yangu kulikuwa na kizuizi cha Polisi. Nilijua hakika lazima watapunguza mwendo. Lakini pia akili yangu ilishtuka nilipokumbuka kuwa eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…