wimbo wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Mbeya: Polisi yaagiza wasiotii wimbo wa Taifa wakamatwe

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema litaanza kuwachukulia hatua wananchi wanaokaidi kutii sheria za nchi kwa kutokuwa na utayari wa kusimama na kuimba wimbo wa taifa kwenye shughuli za kiserikali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema leo Ijumaa Aprili 21, 2023 ikiwa ni...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
  3. Analogia Malenga

    RC Dodoma ashauri kutoza faini ya Tsh. 10,000/- kwa wasioimba wimbo wa Taifa

    Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
  4. E

    SoC02 Wimbo wa Taifa la Mbagala

    Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya  CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo ! Huu ni wimbo  sugu unaoimbwa na...
  5. W

    SoC02 Namna wimbo wa taifa tunavyouchukulia ni kukosa uzalendo au ni aibu ya kutokujua?

    Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani, Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa. Ukweli ukiangalia...
  6. evangelical

    Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

    Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,. Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
  7. N

    Je, kila redio inaruhusiwa kupiga Wimbo wa Taifa?

    Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
  8. K

    Wimbo wa Taifa uwe huu

    Kwasasa Tanzania, zimbabwe na South African tuna nyimbo inafanana🤔
  9. blogger

    Hivi ni nani anachezacheza na tune ya Wimbo wa Taifa?

    Huu unaoimbwa hapa sasa hivi bungeni wanapoahirisha si ninao ujua mimi. Hili taifa bhana. Yani hii tune niliosikia hapa ni ya hovyoo.
  10. kavulata

    Wimbo wa Taifa ufupishwe

    Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu. Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba wimbo wa kuiombea Africa kwenye wimbo wetu. Kufanya hivi ni kurudia bila sababu kile kinachofanywa na...
  11. M

    Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  12. Mathias Byabato

    Frolent Kyombo: Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili mkoani Kagera wanaambiwa siyo raia wa Tanzania

    Katika mchango wake kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbunge wa jimbo la Nkenge (CCM) Frolent Kyombo amelalamikia mateso na adha wanayoipata wakazi wa wilaya za Kyerwa, Karagwe, Missenyi na Ngara katika mkoa wa Kagera kufuatia kuwa mpakani na nchi jirani na kuwa baadhi ya watumishi wa idara...
  13. O

    Wimbo wa taifa enzi ya ukoloni

    Wazee wenzangu tujikumbushe maneno ya wimbo ambayo ndio uliokuwa ukiimbwa hapa Tanganyika GOD SAVE OUR GRACIOUS QUEEN LONG LIVE OUR NOBLE QUEEN, GOD SAVE THE QUEEN. SEND HER VICTORIOUS HAPPY AND GLORIOUS LONG TO REIN OVER US GOD SAVE THE QUEEN Ikiwa yapo maneno nimekosea naomba mwenye kumbu...
Back
Top Bottom