Kuwako kwa wimbi kubwa na la ghafla mtandao wa X (twitter) kwa wanaojiita mapunter.
Uchunguzi wangu...
Wanatabia kama za watu wa forex now kuonyesha wana maisha mazuri sana na wanapiga hela kwenye betting.
Mbili, code wanazotoa ni za kweli, bt kama ilivyo kwa wote mwisho wa siku huchezi ww...