A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini.
Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
jana
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwaka
mwaka huu
mwaka jana
mwezi
ngazi
pesa
pesa ya kujikimu
sekondari
walimu
wilaya
Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya.
Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
Anonymous (c258)
Thread
ajira
ajira mpya
hazina
hela
kimya
mpya
mwaka
ngara
walimu
walimu ajira mpya
wilayawilaya ya ngara
Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !!
Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!.
Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja.
Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023.
Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
Anonymous
Thread
elimu
kinyume
masomo
masomo yote
mbinga
mkurugenzi
sera
sera ya elimu
wanafunzi
wilayawilaya ya mbinga
Habari Tanzania !.
Hii ni chemsha bongo.
Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa bidhaa hizo kwenye maeneo yao. Maana hatari kuu itawapa mtake msitake mtakapokuwa mnataka kukusanya...
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo.
1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
Anonymous
Thread
airtel
kijiji
serikali
simanjiro
vodacom
wilaya
yas
Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu.
Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
Anonymous
Thread
forum
hospital
jamii
jamii forum
kupokea
magharibi
mdau
mimi
mjini
mjini magharibi
mjini zanzibar
mkoa
rufaa
ucheleweshaji
unguja
wahudumu
wilaya
zanzibar
Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe.
Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii.
Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini.
Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
Anonymous (fdc6)
Thread
barua
halmashauri
kazini
kutoa
ruangwa
sana
wilayawilaya ya ruangwa
Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto).
Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
Anonymous (fdc6)
Thread
hivyo
hospitali
hospitali ya wilaya
kuingia
sheria
simu
ubungo
wagonjwa
wilayawilaya ya ubungo
Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu.
kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
Anonymous
Thread
barabara
iringa
kero
kero ya barabara
mkoa
wakazi
wilayawilaya ya kilolo
Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule.
Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
Anonymous
Thread
habari
katika
kero
kigoma
kijiji
mkoani
msingi
shule
shule ya msingi
wilaya
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Anonymous
Thread
kimya
kukatika
kukatika kwa umeme
mamlaka
mvomero
sugu
tatizo
umeme
wilayawilaya ya mvomero
Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.
Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha.
Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
Anonymous
Thread
kero
msingi
shule
shule ya msingi
wilayawilaya ya kilolo