Wilaya Songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha, milango lakini kwa bahati...