wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  2. MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. Profesa Ndakidemi aitaka TMA ishushe huduma za Hali ya hewa hadi ngazi ya Kanda, Mikoa na wilaya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda, Mikoa na wilaya ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za mamlaka na Kwa wananchi kwa ujumla. Profesa...
  4. A

    DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  5. B

    Namiungo, Tunduru maeneo yageuka chemchem

    Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru wapitia changamoto baada ya maeneo yao kugeuka chemichemi pia vijito vingi vya maji kuibuka na kusababisha nyumba kupata nyufa hadi kuanguka huku vyoo vikiwa vimejaa maji na kufurika kutishia magonjwa wa mlipuko ya maambukizi kama kuharisha n.k Shule baadhi ya...
  6. A

    DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  7. Matembezi ya kuwatembelea vijana/wananchi wenzangu wa wilaya ya Ilala

    Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala. Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
  8. PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  9. N

    Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  10. PreGE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  11. Nilitembelea ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala

    Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya...
  12. How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
  13. UWT Taifa Wawafikia Waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Kilombero (Ifakara) Kuwapa Msaada wa Kibinadamu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru wamefika Wilaya ya Kilombero kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Miongoni mwa viongozi...
  14. Mtendaji wa kijiji III halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji; Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi...
  15. Dereva daraja la II halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST DEREVA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye...
  16. Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
  17. Uhamiaji Wilaya ya Mwanga bila rushwa hutoboi

    Habari Wanajamvi. Natumaini mko poa. Naomba serekali iweze kuangalia upya hawa watumishi WA UHAMIAJI pale wilaya ya mwanga kabla hawajaathiri watu wengi. Baada ya kuzungushwa mda mrefu katika mchakato wa kupata KITAMBULISHO CHA NIDA, Siku ya tarehe 18 niliweza kuelekezwa kwenda ofisi za...
  18. Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
  19. Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  20. Mbunge Ngassa Afanya Ziara Hospitali ya Wilaya Igunga

    MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA 1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa. 2. Akemea lugha za mauzi na kebehi kwa wagonjwa. 3. Akagua ujenzi wa majengo mapya ya thamani ya Shilingi Milioni Mia Tisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…