wilaya ya ubungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  2. Mad Max

    Wauguzi na Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, wodi la Wajawazito mnafanya kazi nzuri sana. Endeleeni hivyo hivyo

    Napenda kutoa sifa na pongezi kwa watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, kuanzia Manesi, Madaktari, Walinzi, na Wataalamu wa X-Ray kwa kazi wanayofanya. Tofauti na dhana za wengi, kwamba hospital za Serikali huduma ni mbovu/sio za kuridisha, ila ila experience yetu imekua tofauti kabisa...
  3. D

    Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo yaipa kongole DAWASA utekelezaji mradi wa maji Msumi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
  4. Boveta

    PreGE2025 Professa Lipumba leo amefanya ziara ya kichama wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge na udiwani

    Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika. Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi, na mabadiliko ya katiba mpya.
  5. Boveta

    Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  6. Ms Billionaire

    KERO Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Alberto Msando

    HABARI YA LEO WAKUU, Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Alberto Msando. Kwanza nikupongeze kwa Uteuzi wako wa kuja kuiongoza Wilaya hii ya Ubungo, tuna matumaini na wewe tena sana tu. Nikupongeze pia kwa juhudi ulizozianzisha za kupunguza au kukomesha foleni zisizo na msingi...
  7. Apologise lady

    Halmashauri ya wilaya ya Ubungo, nini kinafanya mshindwe kutatua mgogoro wa barabara ya kwa makombe (Kibwegere) inayotokea Jerusalem (Hondogo)?

    Kumekuwa na ubabaishaji sana kuhusu suala la kufungua barabara ya kwa Makombe hadi Jerusalem, ambayo imefungw na mtu mmoja anayeitwa Jose ph dhidi ya wanaichi zaidi 30 wanao itegemea barabara hiyo, Awali, Ofisi ya wilaya na Kamati ya urasimishaji mtaa wa Hondogo, ilikuja kusikiliza hii...
  8. Jackson QUECA

    Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  9. The Sheriff

    KERO Miundombinu ya vyoo Mnada wa Mbuzi - Kibamba ni kichefuchefu! Mamlaka za Afya Wilaya ya Ubungo mpo wapi?

    Salamu Wakuu, Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo. Hali ni ya kusikitisha. Vyoo havina maji tiririka, vinyesi vinaonekana waziwazi, na mazingira ni machafu kupindukia. Vibanda...
  10. S

    KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  11. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  12. DolphinT

    KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  13. Melki Wamatukio

    Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  14. M

    Serikali ya Wilaya ya Ubungo mnaridhika na utapeli wa huyu mchungaji Mashimo?

    Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na kuacha jamii ikizidi kut Hata kama serikali haina dini lakini sio vema...
  15. Brave_Idiot

    Ofisi za NIDA wilaya ya Ubungo zinapatikana wapi?

    Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
  16. mdukuzi

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo ajitafakari uwezo wake ni mdogo sana

    Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake. Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi, hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku...
  17. GUSSIE

    Rais Samia fukuza Mkuu wa wilaya ya Ubungo Dar es salaam amejigeuza hakimu, Polisi na Afisa upelelezi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi bali atazingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi. Albert Chalamila mbele ya Rais Samia...
  18. Nyarupala

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo tunaomba vigezo vya mtu anaetakiwa kukutwa kwenye chumba cha guest au lodge

    Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni? Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu...
  19. M

    Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?

    Habari zenu wana jamvi, Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume...
  20. Z

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

    Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo. Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote...
Back
Top Bottom