Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
LUGURUNIUkiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?