wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  3. JamiiForums Tanzania UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

    Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho) wakati wenzao wa North London game ni chache...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki. Mbali...
  6. JamiiForums Tanzania Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  7. JamiiForums Tanzania Warusi wabadilisha kauli na kusema kamji ka Bakhmut katachukua wiki zingine kadhaa kukateka

    Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
  8. JamiiForums Tanzania Man City yapanga kumpa Erling Haaland mshahara wa Tsh. Bilioni 1.4 kwa wiki

    Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki. Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika michuano yote msimu huu, ana mkataba hadi Mwaka 2027 Kwa sasa, Haaland analipwa Paundi 375,000 kwa wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

    Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia. Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
  11. JamiiForums Tanzania Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  12. JamiiForums Tanzania Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani. Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
  15. JamiiForums Tanzania Lucy J. Sabu Katika Kilele cha Wiki ya Chipukizi CCM Mkoa wa Simiyu

    MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
  16. JamiiForums Tanzania Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

    Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza. Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha. Baada ya muda nilizoea...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee ameshiriki maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni

    MBUNGE MHE. AMINA MZEE AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA CHIPUKIZI WILAYA YA MICHEWENI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Amina Ali Mzee ameshiriki Maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba "Ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwanza kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

    Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeongezeka uzito kwa kasi ya ajabu; Kilogramu 9 ndani ya wiki 2 (72-81)

    Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100% (Mashamba 2, nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…