wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wezi wavunja Kanisa wala Mikate ya Sakramenti na wanywa Divai katika Kanisa la ACK Kenya

    Taharuki imetanda miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana (ACK) St. Matthew’s Mutithi lililopo Kirinyaga nchini Kenya, baada ya watu wasiojulikana kuvunja na kuiba mali ya kanisa, huku wakinywa divai ya madhabahuni na kula mikate ya sakramenti. Tukio hilo la kusikitisha liliripotiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Majambazi na wezi si rahisi kujitawala ila vyombo vya dora vinaweza kujitawala na kujikataa kuwa sio wahusika

    Hakuna mtu mjinga hata kompyuta iwezi kudanganywa kuwa ijahusika wakati ndio inatenda. Hapa tanzania kama unafanya ujambazi au wizi uwezi kufanya kama yanayo fanywa mfano uwezi kusimamisha basi ukachukua mtu tena sio porini ni jiji kubwa alafu gari mnazotumia ndio hizo hizo mnazotamba nazo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  5. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  7. JamiiForums Tanzania Wezi watakuja kuishika serikali na nahisi :Sio mimi ni socrate

    Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madaraka⁷
  8. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na biashara za mtandaoni Intelligence (IFX) ni wezi kama wezi wengine tu

    "As-salamu alaykum," kwa ndugu zangu Waislamu. “Bwana Yesu Kristo Asifiwe,” kwa ndugu zangu Wakristo Bila kupoteza muda, nimekuja kwenu hili kuwajuza juu ya wimbi la biashara za online ambazo kila kukicha zinazidi kuibuka kama uyoga. Vitu vingi vinaama kutoka kwenye ulimwengu wa kawaida na...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene aonya Wakuu wa Taasisi za Umma: Aliyekwambia unafaa nani?, Cheo ulipata kwa chapuo, tukikuchunguza unakuta ndio wezi na wapigaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao. Akizungumza leo jijini Dodoma, Simbachawene alieleza kuwa baadhi ya viongozi wanawateua watu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuweni makini na wafanyakazi wa Kimalawi, wamekuwa wezi kila sehemu

    Angalizo tu HABARINI za asubuhi kwa ujumla Naamini wote mmeamka wazima WA afya Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban Aka wanyasa Hawa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Wezi waiba nguzo 147 za fensi katika uwanja wa ndege Moshi

    MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo. Babu ametoa kauli hiyo leo wakati wa kikao cha Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa, ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Ifakara ndio mji wa wajanja. Wezi wa TUMA kwenye Namba hii makao makuu yao Ifakara. Ifakara ni noma sana

    Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa by Jay Alchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01 ********* Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii haifanani na zile alfajiri za mwezi Julai. Julai, mwezi ule kila mtu analalamika kuwa baridi kawa baridi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  15. JamiiForums Tanzania Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wezi wa Kishua

    Wezi sikuhuzi ni wa kishua kabisa. Yaani wanatembelea Harrier. https://youtu.be/-iXfvLzNm8Q?si=YatxVtabQKUvAgVg
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

    Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga? Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako. Mjini mambo yote yanahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Video inayoonesha wanaodaiwa kuwa ni wezi wanachomwa moto ni Arusha

    Wakuu naomba kufahamu uhalisia wa hii video nimeona ikipostiwa mtandaoni kuwa ni wezi wanachomwa huko Arusha
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kupitia mahojiano aliyofanya na Tumaini TV amesema: "Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya kidemokrasia, lakini zoezi hilo ni lazima litekelezwe kwa uadilifu, kwa uzalendo na kwa uaminifu, ni...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…